Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

This time hata uvccm watatusapoti
 
MNYIKA John John (@jjmnyika) Tweeted:
Sabaya kufungwa kwa ujambazi na unyang'anyi inapaswa kuwa sababu nyingine kwa DPP kufuta mashtaka ya @freemanmbowetz . Nilisema 31 Julai 2021 kuwa Sabaya alihusika kuwabambikizia kesi #makomandoo3 kumwondolea ulinzi #FreeMbowe ili kumdhuru. #MboweSioGaidi
 
Well said Chalii
 
Huyo Jaji atakayemfunga Mbowe atakua mpuuzi wa mwisho na ndio mwisho was Tanzania kwenye international relation
Eti mwisho wa Tz kwenye international relation, mnajijazaga uongo na ujinga.
Mbona yupo ndani kitambo na international relationship bado ipo
 
Inaonekana Sabaya alimuonyesha dharau mama , maana Makonda yupo tu anadunda
hapa ndipo wabongo mnakosea. kuichukulia poa mahakama. who is the so called 'mama' kwa mahakama? mahakama ni muhimili unaojitegemea, full stop. hata huyo 'mama' akijichanganya kuna siku atapanda kizimbani vizuri kabisa.

hajatokea tu wa kumshitaki makonda na hii ni kwa sababu maeneo aliyokuwa anafanya uhalifu wake yamejaa watu wazembe wasiojielewa, sifuti kauli. fikiria clouds alipovamia na mitutu ya bunduki ni na nani mwenye ubavu wa kupeleka shauri mahakamani wakati CMG nzima ni watu wa kujipendekeza kuanzia management mpaka wafanyakazi?

watu wa Kanda ya Kaskazini wametukumbusha tena kwa mara nyingine namna wanavyojielewa.
 
Tunafahamu kabisa kuwa FREEMAN MBOWE LAZIMA atafungwa ili kuwatisha watu kuendelea kudai katiba MPYA.

Jaji kishapewa maelekezo akiwa anajua au hajui.Mbowe atakapokuwa ndani akitumikia kifungo chake iwe Cha maisha au kunyongwa Moto wa KATIBA MPYA uwe umechochewa.
 
Nampa pole sana huyu binti maana nshafika Arusha nimtoe out [emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…