mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huna ulijuajo.Kuna mtu kasema hawi mwanajeshi??
Nimekuuliza, ni kipengele kipi cha katiba au Sheria kinacho kataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi/kipato au asiajiriwe na mtu binafsi?
Sheria ipi au kifungu gani cha katiba?
Wabongo kila kitu nyie hua mnafurahi tu na kucheka,mkimaliza story moja mnangoja nyingine nayo mnairukiaAnyongwe[emoji23][emoji23]
Kesi ya ugaidi dhidi ya mbowe ulitengenezwa na Sabaya na magufuli pasipo kutafakari vizuri na hawakujua Athari zake baadae, angalia sasa jwtz imedhalilishwa na Polisiccm kwa watu wake kufungwa pingu saa 24 kila siku kupigwa kuteswa waseme ugaidi hewa ugaidi feki ambao haukuwepo ni unyama wa hali ya juu kwenda kuwatesa watu waseme kitu ambacho hakipo kabsa bali kimetengezwa na mashetani wasio muogopa munguKwa ushahidi upi, taja references ya kesi ya ugaidi ambayo ilishaamuliwa kwenye viunga vya mahakama zetu
Wewe unajua nini sasa? au unachokijua ni kuwabambikia kesi na kulazimisha watu kukubali ugaidi hewa ?Huna ulijuajo.
Nini maana ya habari? Sasa hutaki watu wapate habari? Unataka kesi ya Sabaya iwe kwa Siri?Wabongo kila kitu nyie hua mnafurahi tu na kucheka,mkimaliza story moja mnangoja nyingine nayo mnairukia
wenzenu wanatumia akili kutengeneza kesi,nyie mmebaki na mihemko.Wewe unajua nini sasa? au unachokijua ni kuwabambikia kesi na kulazimisha watu kukubali ugaidi hewa ?
Tayari Daudi Bashite kamrithiTunaomba picha ya mchumba wake Mh.Sabsya
Kesi ipi imetengenezwa kwa Akili? Kuwafunga watu pingu saa 24 kuwapiga kuwatesa kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ni Akili?wenzenu wanatumia akili kutengeneza kesi,nyie mmebaki na mihemko.
Kesi ipi imetengenezwa kwa Akili? Kuwafunga watu pingu saa 24 kuwapiga kuwatesa kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ni Akili?
Tutarajie miujiza na mazingaombwe kufanyika,sio ajabo kwa TzBado sijaikataa sauti yangu hata baada ya hukumu, time will tell.
Na kinacho staajabisha , Mwanajeshi anagundua viashiria vya ugaid anaenda shatak police [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanajeshi msitaafu huwa yupo huru kuajiriwa popote pale, alichokifanya Sabaya kule Moshi kwa walinzi wa mbowe ndiyo ugaidi, Polisiccm akina mahita kingai ndiyo waliwafanyia ugaidi walinzi wa mbowe ambao walikuwa wageni moshi hawakuwa wakijua ugaidi wowote zaidi ya Ulinzi kwa mbowe mwenyewe
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Na kinacho staajabisha , Mwanajeshi anagundua viashiria vya ugaid anaenda shatak police [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JIWE alikuwa anaenda kupangua UKOMO wa urais kwenye katiba ,sema akapinduliwa yeye FASTA.
Sister alikua chombo balaa nlikutana nae Loliondo DC alikua mkali saana kenge yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi jina mwanangu nlimpa AARON lile Punda ntalisaka maana liliniambia kwao ni Wilaya ya Meru DC
Vipi ameshatoa hiyo fine ?Atatoka kesho TU!, Atatoa faini yatspita. Usimuombee mabaya jirani yako
Kosa alilohukumiwa nalo halina adhabu ya kunyongwa.Ulaaniwe wewe. Mtatapika hela mlizokuwa mnachezea nae. Kijitu kilijifanya mungu mtu kinawachezea wengine kitakavyo. Kenge kabisa. Mtu na akili yako utatumiwaje? Angehukumiwa kunyongwa huyu mbwa
next chapter ipi ?This was the end of Chapter one, letβs just be patient for the next chapter..
Shenzi lile ntalisaka hadi nilipate haliwezi kutoroka na dam yanguHahahaha ulimfanya nini hadi akakutoroka!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole lakini
Shenzi lile ntalisaka hadi nilipate haliwezi kutoroka na dam yangu