mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huna ulijuajo.Kuna mtu kasema hawi mwanajeshi??
Nimekuuliza, ni kipengele kipi cha katiba au Sheria kinacho kataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi/kipato au asiajiriwe na mtu binafsi?
Sheria ipi au kifungu gani cha katiba?