Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Kwa ushahidi upi, taja references ya kesi ya ugaidi ambayo ilishaamuliwa kwenye viunga vya mahakama zetu
Kesi ya ugaidi dhidi ya mbowe ulitengenezwa na Sabaya na magufuli pasipo kutafakari vizuri na hawakujua Athari zake baadae, angalia sasa jwtz imedhalilishwa na Polisiccm kwa watu wake kufungwa pingu saa 24 kila siku kupigwa kuteswa waseme ugaidi hewa ugaidi feki ambao haukuwepo ni unyama wa hali ya juu kwenda kuwatesa watu waseme kitu ambacho hakipo kabsa bali kimetengezwa na mashetani wasio muogopa mungu
 
Mwanajeshi msitaafu huwa yupo huru kuajiriwa popote pale, alichokifanya Sabaya kule Moshi kwa walinzi wa mbowe ndiyo ugaidi, Polisiccm akina mahita kingai ndiyo waliwafanyia ugaidi walinzi wa mbowe ambao walikuwa wageni moshi hawakuwa wakijua ugaidi wowote zaidi ya Ulinzi kwa mbowe mwenyewe
Na kinacho staajabisha , Mwanajeshi anagundua viashiria vya ugaid anaenda shatak police [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulaaniwe wewe. Mtatapika hela mlizokuwa mnachezea nae. Kijitu kilijifanya mungu mtu kinawachezea wengine kitakavyo. Kenge kabisa. Mtu na akili yako utatumiwaje? Angehukumiwa kunyongwa huyu mbwa
Kosa alilohukumiwa nalo halina adhabu ya kunyongwa.

CCM mmezoea kupindisha sheria kuwafurahisha nyinyi binafsi na wake zenu.

Unataka anyongwe kwa kosa ambalo halina adhabu ya kunyongwa ?
 
Back
Top Bottom