Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,262
- 3,184
Huyu ni kijana wetu alikuwa anapata order kutoka kwa baba yake ********Unyang'anyi wa kutumia silaha miaka 7?Mimi nilifikiri ni miaka 30!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni kijana wetu alikuwa anapata order kutoka kwa baba yake ********Unyang'anyi wa kutumia silaha miaka 7?Mimi nilifikiri ni miaka 30!!!
Hebu niambie mpaka sasa upepo ubavuma kuelekea upande upi?Hukumu ndio imeanza kusomwa muda huu.
Aliyoyafanya Arusha na moshi sio ya kibinadamu jombaaa,Teh teh
Aise mbn unakuwa hivyo unamtakia binadam
Mwenzako msala....
Ishi kwa kusamehe bwana boss wangu
Ova
Tunatarajia kifungoHebu niambie mpaka sasa upepo ubavuma kuelekea upande upi?
DuhAliyoyafanya Arusha na moshi sio ya kibinadamu jombaaa,
Inatakiwa kabla hajaingia mlango wa gerezani apate shaba mbili za miguu 😠😠
Hata Ikisomwa wiki nzima bora apate kifungo cha miaka 30 jelaHii hukumu inasomwa saa nzima au
Kama lile gaidi Mbowe!Naomba sana breaking news ya Miaka 40 jela jizi na Libakaji hilo
Soon mtaaibikaKama lile gaidi Mbowe!
Mkuu pitia tena PGO nasikia Jaji kasema tunarudia tena ushahidi wa namna ya ukamataji ulivyofanyika pamoja na masuala ya MO EnergyKama lile gaidi Mbowe!
Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama.
=======
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili leo Ijumaa Oktoba 15, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Amalia Mushi aliahirisha hukumu hiyo Oktoba Mosi, 2021 baada ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, kutokamilisha kuandika hukumu hiyo.
Agosti 24 mwaka huu, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu na Daniel Mbura walikamilisha kujitetea mahakamani hapo baada ya Jamhuri kukamilisha mashahidi 11 na vielelezo vinane.
Sabaya alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Juni 4, mwaka huu baada ya kukamatwa Mei 27 wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Mwananchi
kwahiyo gaidi alikuwa anawindwa na magaidi wenzake sirikali ikamsaidiaWatu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
Tusamehe mkuu sio makosa yetu ni CCM ndio inataka tuwe wajinga ili itutawale. Na imetupata tupo wengi kweli tuna Akili lakini akili zetu zenyewe hazina akili😂😂😂Shule ya kata matunda yake, I am sorry anyway!
UMEMALIZA KAZI YA SIKU YA LEO, BRAVO. AKILI ZETU HAZINA AKILITusamehe mkuu sio makosa yetu ni CCM ndio inataka tuwe wajinga ili itutawale. Na imetupata tupo wengi kweli tuna Akili lakini akili zetu zenyewe hazina akili😂😂😂
Nyerere day tukiweka mauwa kwa kaburi la baba wa Taifa.👇🏾
View attachment 1975194
View attachment 1975195
Hawezi nyongwa maana Alikuwa anatekeleza sera za CCM za kutesa watu.Anyongwe[emoji23][emoji23]