Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Kwa aina ya Ulinzi uliopo unaleta picha gani?

Binafsi naona upo kwaajili ya Wananchi watakao chukizwa na maamuzi ya Mahakama kwa kumpa Mtuhumiwa Ole nafasi kubwa ya kuwa Uraiani sk za karibuni au leo leo!

Wasidhubutu kufanya Mihemko yyte ya kuchukizwa na Aina yyte ya Hukumu.... Ila ukweli uko wazi Ole alikuwa Ni Jambazi na wakimuachia uraiani watakuwa wamemkaribisha kuja kufunzwa na Ulimwengu
Kabisa. Nami nauona mtazamo wako
 
Wakiamua kumwachia labla ahame chuga !!
 
sasa si itakuwa haina maana, wamshitaki wao then wamwachie wao si kuchoshana tu huko.
 
Mbona inaenda haraka Sana kwann isiiende taratibu kama ya wazee wa escrow na uhamsho
 
hatimae amefungwa kama samaki mkavu alie tiwa chumvi
 
Back
Top Bottom