Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Umemwambia pia huyo bavicha mwenzio niliem quote?Utakua lini?Miaka karibu nane jukwaani lakini bado unastep this low!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemwambia pia huyo bavicha mwenzio niliem quote?Utakua lini?Miaka karibu nane jukwaani lakini bado unastep this low!!!?
ID yako ni familiar kwangu ndio maana nimekuchagua wewe!Two wrongs do not make it ryt!Umemwambia pia huyo bavicha mwenzio niliem quote?
Basi usichague,ID yako ni familiar kwangu ndio maana nimekuchagua wewe!Two wrongs do not make it ryt!
ID yako ni familiar kwangu ndio maana nimekuchagua wewe!Two wrongs do not make it ryt!Umemwambia pia huyo bavicha mwenzio niliem quote?
ID yako ni familiar kwangu ndio maana nimekuchagua wewe!Two wrongs do not make it ryt!Umemwambia pia huyo bavicha mwenzio niliem quote?
Kabisa. Nami nauona mtazamo wakoKwa aina ya Ulinzi uliopo unaleta picha gani?
Binafsi naona upo kwaajili ya Wananchi watakao chukizwa na maamuzi ya Mahakama kwa kumpa Mtuhumiwa Ole nafasi kubwa ya kuwa Uraiani sk za karibuni au leo leo!
Wasidhubutu kufanya Mihemko yyte ya kuchukizwa na Aina yyte ya Hukumu.... Ila ukweli uko wazi Ole alikuwa Ni Jambazi na wakimuachia uraiani watakuwa wamemkaribisha kuja kufunzwa na Ulimwengu
Apigwe risasi ya kichwaNgoja tuone naona ulinz mkali Sana mabunduki kila kona
Wakiamua kumwachia labla ahame chuga !!Kwa aina ya Ulinzi uliopo unaleta picha gani?
Binafsi naona upo kwaajili ya Wananchi watakao chukizwa na maamuzi ya Mahakama kwa kumpa Mtuhumiwa Ole nafasi kubwa ya kuwa Uraiani sk za karibuni au leo leo!
Wasidhubutu kufanya Mihemko yyte ya kuchukizwa na Aina yyte ya Hukumu.... Ila ukweli uko wazi Ole alikuwa Ni Jambazi na wakimuachia uraiani watakuwa wamemkaribisha kuja kufunzwa na Ulimwengu
sasa si itakuwa haina maana, wamshitaki wao then wamwachie wao si kuchoshana tu huko.Kwa aina ya Ulinzi uliopo unaleta picha gani?
Binafsi naona upo kwaajili ya Wananchi watakao chukizwa na maamuzi ya Mahakama kwa kumpa Mtuhumiwa Ole nafasi kubwa ya kuwa Uraiani sk za karibuni au leo leo!
Wasidhubutu kufanya Mihemko yyte ya kuchukizwa na Aina yyte ya Hukumu.... Ila ukweli uko wazi Ole alikuwa Ni Jambazi na wakimuachia uraiani watakuwa wamemkaribisha kuja kufunzwa na Ulimwengu
Ni sawa uonavyo!Basi usichague,
Huo utakuwa ni unafiki
kaja na Maagizo kutoka juuHakimu amerejea