Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

wansema jamaa (General, field marshal the last king of scotland, The Northern zone conquerer ) Ole Sabaya alizimia ikabidi wasimame
 
Ngoja tupige kahawa

Aise mjini dsm kuzuri nlipamis sna

Ova

2626349_00000IMG_00000_BURST20201128174348099_COVER.jpg
 
Ccm inawalinda wahalifu haiwezi mtosa ccm mwenzao,tena aliyewasaidia kumuangusha Mbowe.Ukiona kesi inaenda mbio mbio jua hamna kitu hapo.
 
Atapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.

Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.

hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..

Hukumu yake naifahamu.
Ujambazi wa kutumia silaha una faini ?
 
Back
Top Bottom