CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
wansema jamaa (General, field marshal the last king of scotland, The Northern zone conquerer ) Ole Sabaya alizimia ikabidi wasimame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatoka tena kwenda msalaniHakimu amerejea
Aiseee!Hakimu funga kabisa hiyo mbuzi pumbaff
Unaandika ukitokea wapi?Updates.... hatimae jambazi sugu ole sabaya amepigwa mvua ya miaka saba
😅Updates.... hatimae jambazi sugu ole sabaya amepigwa mvua ya miaka saba
[emoji28][emoji28][emoji28]Updates.... hatimae jambazi sugu ole sabaya amepigwa mvua ya miaka saba
Hajafungwa tu?Aachiwe huru mara moja. Chadema na mbowe wake hawana jema hata ukiwapa dunia na vyote vilivyomo.
Vipi bado hamna kesi ?Watu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
Ujambazi wa kutumia silaha una faini ?Atapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
[emoji14][emoji14][emoji28]