Ndoto hiyo!
..Mataga wenzake wamemkimbia.
..Hawamtembelei mahabusu.
..Hawaendi mahakamani kusikiliza kesi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto hiyo!
Hakuna Cha uchawi Wala Nini ila amini kama connection zipo.Kwa wenye kujua zipatikanamo 🤸.Siku zinaenda kasi sana daaah,ngoja waje watetezi wake humu!!!yule Jambazi asipofungwa nitaamini Uchawi upo
Ataendelea kutumikia kifungo chake na kesi nyingine zitaendelea mpaka zitakapoamuliwa akihukumiwa nazo anatumikia kifungo.Akipewa hukumu kesi zake nyingine vipi??..au watajumlisha hukumu zote baada ya kesi zote kuisha??
Wakuu embu mnibrief kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
..Mataga wenzake wamemkimbia.
..Hawamtembelei mahabusu.
..Hawaendi mahakamani kusikiliza kesi yake.
DuuhKila kesi inaenda mpaka mwisho apate haki ndo maana kuna watu wanafungwa miaka 200
Duh...???Sabaya amepewa muda ajitetee baada ya kukutwa na hatia!
Anasema hakuwa yeye bali alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka.
Pia amedai ana mchumba ambaye wameahidiana kuoana, hivyo mahakama imfikirie
Man kuchungulia aka karandinga sio🏋️.30 lazima, in 20ms Ngojeni, tushafungua man kuchungulia
Ana igiza tu, ili apate huruma, huyu akipona sanaa 30 years in prison tusubirikinachomliza ni nini hasa
Huyo mchumba wake acha wandewa wamgegede sasa..Kushney dadaji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1975346
Zile tabasamu alizokua anaenda mahakamani amekenua meno zimeyeyuka?Kushney dadaji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1975346
Kushney dadaji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1975346