Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Siku zinaenda kasi sana daaah,ngoja waje watetezi wake humu!!!yule Jambazi asipofungwa nitaamini Uchawi upo
Hakuna Cha uchawi Wala Nini ila amini kama connection zipo.Kwa wenye kujua zipatikanamo 🤸.
 
Ila hii katiba yetu nayo mapungufu ni mengi! I wish ibadilishwe na viongozi kama raisi waweze kushtakiwa maana na wao wana maujinga kibao.... Lakini hii yakuwatuma watumishi wao kutekeleza mambo fulani fulani inakuwa si sawa!!!!
 
Kushney dadaji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Screenshot_2021-10-15-17-01-59-25.jpg
 
Sabaya amepewa muda ajitetee baada ya kukutwa na hatia!

Anasema hakuwa yeye bali alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka.

Pia amedai ana mchumba ambaye wameahidiana kuoana, hivyo mahakama imfikirie
 
Back
Top Bottom