fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
auwaweAnyongwe😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
auwaweAnyongwe😂😂
30/2=15Hivi hapo anatoka mwaka 2036 au 2051?
Who is makonda endelea kunywa bia hizo sio akili zakoMakonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Hivi kwanini Makonda kaachwa?Bado Bashite maana wote ni MAJAMBAZI.
Nafasi unayoichukua kuipa pole familia ya ole sabaya n matumizi mabaya ya nafasi.Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Naweza kukubaliana na wwHuu ni mtego wa ile kesi nyingine kamanda. Utakuja kuniambia!
Walifanya hii nchi mali yao manyama haoBado Bashite maana wote ni MAJAMBAZI.
Hivi kwanini Makonda kaachwa?
Na amekuwa kimya, na akilima nyanya Arusha
Wanawake wa sikuhizi wana Spidi sanaHivi mkewe/mchumba ana watoto? Pengine anaweza kumngoja akirudi na 40-50yrs
Kama hakufunga magoli sidhani kama huyo mke atamngoja
Aje nimuoe Mimi awe mke wa pili😄😄😄😄😄😄Mada ndefu sana ila hakuna anaeuliza picha ya mchumba wa sabaya View attachment 1975436View attachment 1975437
Yuko sahihi kabisa,nadhani alikua anamaanisha Mungu Jiwe.Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Kila shetani na Mbuyu wakeNashangaa imekuwaje Bashite bado anapuyanga tu KITAA ,kwa ujambazi,dhuluma,mauaji aliyofanya ilitakiwa awe kwenye majengo ya serikali akila ugali wa bure.
Walifanya hii nchi mali yao manyama hao
Kamchukue tumlee Mimi na wewe Kwa niaba yake[emoji24]Katika hao wenzake kuna mmoja kaacha katoto kachanga mtaani.
an obvious case indeed, our concern is about the independence of the judiciaryKesi ya Mbowe ni nyepesi sana