kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 623
- 606
Unauhakika?Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika?Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Maybe !Ila SIO kama unavyo nichukulia
dah huo utetezi umetoka kweli kwa Sabaya au ni story tu za vijiweni?... kama kweli ametoa utetezi huo basi naweza sema jamaa ni full kilaza aisee na kumbe nje ya mamlaka hana ujanja wowote....fuckin kabisa aisee..
Unapewa nafasi ya kujitetea unaongea upuuzi huo aisee, Elimu yetu inahitaji complete overhaul aisee huyu ni kijana msomi na alikuwa kiongozi mkubwa ngazi ya wilaya aisee anaongea ujinga kama huu kama utetezi wake..bora angekaa kimya tu aiseee..
Umepanic!Nenda kamsaidie sabaya kutumikia miaka 30 si mlikuwa wote wakati wa kuvamia maduka ya watu.pumbavu
Inauma sana.
Ila huyu mama hataki dhuluma,sio kama Magufuli.
No one is above the law.
Utasubiri sana .mbowe hafungwi
Mahakama zetu ziko huru sana haziingiliwiSi mlisema sabaya atatoka? Haya sasa katoka na 30 huko
Ni kujidanganya..labda hajaingia sawa sawa kwenye 18. Muhimu ni ushahidi tu, naye hana ukubwa kuzidi sheria.Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Nimewai seatwanasheria tunaomba ufafanuzi hapa kuna wengine wanasema hukumu ni jumla ya miaka 30 hivyo inagawanywa kwa watu 4 kila mmoja mika 7, wengne wanasema kila mmoja miaka 30 kwasababu miaka haigawanyiki
hivyo ukweli ni upi
johnthebaptist ndio yuko hoi bin taabani kawatishia Wakuu wa Lumumba hii kazi ya kurusha rusha thread za kuwaponda wapinzani ataacha mara moja kwakuwa hawana ulinzi wa kutosha.Mimi ninaowaonea huruma ni...matakataka na machozi ya samaki.
Ezekiel Mbaga
Crimea
johnthebaptist
Idugunde
Mudawote
Kinuju
Jumbe Brown
Naipendatz
GENTAMYCINE
Na orodha itaendelea...wako wengi ilitakiwa wafukuliwe na kuunganishwa kwenye hii kesi...
Daaaah ya gaidi, huyo lazima ale mvua gaidi mkubwaKesi ya mbowe haifanani na ya Sabaya ambayo ilikuwa na ushahidi wa kweli na wazi, kesi ya mbowe ni kesi ya kubambikiwa hata walinzi wa mbowe wametendewa ukatili mkubwa na Polisiccm akina mahita kingai, mbowe hawezi kufungwa hakuna ushahidi wa kuweza kumfunga
Elimu! Elimu! Elimu!wanasheria tunaomba ufafanuzi hapa kuna wengine wanasema hukumu ni jumla ya miaka 30 hivyo inagawanywa kwa watu 4 kila mmoja mika 7, wengne wanasema kila mmoja miaka 30 kwasababu miaka haigawanyiki
hivyo ukweli ni upi
..waliomtumia na kumtuma Sabaya walaaniwe.
Rais wa hovyo na mshamba!!Kwa leo tudeal na hili kwanza!Kesi hii imeanika wazi tulikuwa na Rais wa aina gani!
Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .