Wamuyaya
Member
- Apr 4, 2021
- 73
- 72
Heshima haina gharama.[emoji28][emoji28]Umeanza kunikosea heshima sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima haina gharama.[emoji28][emoji28]Umeanza kunikosea heshima sasa
Young age!??? Come-one!! Miaka 35 unashindwaje kuongoza wilaya? Young age ndo inampeleka kwenda kulazimisha kwa kutumia silaha? Tatizo ni moja: Mfumo uliotumika kumuweka kwa hiyo nafasi, pamoja na kutoact timely pale ilipoonekana anatenda masuala ambayo siyo mazuri sana na hakuchukuliwa hatua--- Kama mfumo ulikosea wakati wa vetting, basi alitakiwa kubadilishwa mapema kabisa---Hakuna factor ya young age kabisa hapo!!!Utoto ulikuwa unamsumbua, they were and are still young to hold such positions. Kama ingelikuwa siyo kuwatesa/kuwa na kuwaibia watu, I would pardon him due to his young age!
Si kweli huyu kafungwa kwa ushahidi na si favor... Hata mboye ushahidi ndo utaonesha hatma yakeNimendika humu kuwa sijapenda hukumu hii...kuna kitu inalenga.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hukumu ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya inasomwa muda huu katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Akisoma maelezo ya awali Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo amesema kati ya mashahidi 11 wa upande wa mashtaka waliotoa ushahidi wao, ambapo ushahidi wa watu 9 umeonekana una mashiko na ushahidi wa watu wawili umetupwa.
Hakimu Amworo amesema kuwa mahakama imejiridhisha kuwa siku ya tukio February 9 mwaka 2021 washtakiwa wote watatu walikua dukani kwa Saad na wote walishiriki kufanya unyang'anyi wa kutumia silaha, kabla ya kumpiga Saad na kumsabanishia majeraha, wakitaka wapewe TZS 100M au mfanyabiashara huyo apewe kesi ya uhujumu uchumi.
Hakimu anasema kwa mujibu wa kifungu cha 201 cha sheria ya makosa ya adhabu, mtu yeyote anayepatikana na hatia ya kutumia silaha kunyang'anya mali ya mtu mwingine, adhabu yake ni kifungo cha miaka 30 jela pamoja na viboko 12 au miaka 30 bila viboko.
Baada ya kusema hayo Sabaya alianguka na kudaiwa kuzimia, hali iliyofanya Hakimu kuahirisha kusoma hukumu hiyo kwa dakika 5. Baadae Sabaya alizinduka na hukumu ikaendelea kusomwa.
Kabla hajataja adhabu, Hakimu amewapa washtakiwa nafasi kujitetea kwa mara ya mwisho, ambapo Sabaya ameomba apunguziwe adhabu kwa sababu anaye mchumba ambaye ameshamtolea mahari na hivyo akihukumiwa miaka mingi atashindwa kumuoa.
Hukumu inaendelea kusomwa. Letz keep waiting.!View attachment 1975366
Wala hana nyumbaHajaoa tu
Acha kutoa hukumu kwa kuwaza miujiza brother. Mahakama inafuata sheria siyo mihemko ya kiccmMahakama ikitenda haki kama kwa sabaya?
Huu ni mtego wa ile kesi nyingine kamanda. Utakuja kuniambia!
Hili linaweza kuwa na ukweli, wale waliopona kama vile Bashite kutakuwa na namna si bure.Inaonekana Sabaya alimuonyesha dharau mama , maana Makonda yupo tu anadunda
Kosa la kutumia unyanganyi wa silaha ufungwe miaka 30 are you ok??Acha kutoa hukumu kwa kuwaza miujiza brother. Mahakama inafuata sheria siyo mihemko ya kiccm
Mwanaccm Sabaya ameshitakiwa kwa makosa ya kweli , Mbowe kesi yake ni ya uongoSijapenda hukumu hii maana wasiwe wanajenga ngao ya kumfunga Mbowe na baadaye wam- pardon Sabaya na kumsamehe na kumpa cheo!
Huyo watasema miaka 70 maana kesi ya unyanganyi wa silaha miaka 30 je gaidi itakuwaje hapo??Hukumu ya gaidi lini?
OhooooKwani yupo basi, ameshakimbia yupo Afrika kusini huko.
Lipo jambo la kujifunza. Kwa viongozi, mnaweza kuwamiza sana viongozi kwa chini kutekeleza kazi majukumu yao. Kwa viongozi wa chini, fanya yaliyo katika majukumu yakoAliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Piga kimyaWote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...
Duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...
Sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui