Ipo tofauti ya bima na yanayosemekana malengo. Elewa mada.Wameishiwa hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo tofauti ya bima na yanayosemekana malengo. Elewa mada.Wameishiwa hoja
Soma Kwa kutulia utaelewaSijawahi kusoma misleading post kama hii humu jf since nimejoin
Please find another angle to hate your government
Ulitaka tutibiwe bure?Inasikitisha sana ,serikali kugeuka wafanyabiashara na si watoa huduma.
Na ni msomiMnalalamikia mpaka bima ya afya? Kweli safari ni ndefu.
Una mtoto?Hata wafanya biashara wa bima hutongoza Kwa kuelezea faida za bima ukijiunga nao. Hawa ni wabakaji tu, wenye kuelezea wazi kuwa wanataka faida kutoka kwa ambao hawaumwi huku wao wakitumbua.
Disgusting!
Kwani walipa kiasi gani kwa mwaka na watibiwa kiasi gani?Public funds zinavyo tapanywa sasa na hao NHIF sasa acha kabisa najisikiaga vibaya sana nikiona invoice ya bima, pole sana taifa langu Tanzania.
Sawa ila pamoja na mapato xaidi ni kupata Nguvu kubwa ya kuhudumia hasa kwenye sekta ya Afya.Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya.
Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
NHIF iliyopo sasa ipo taabani kifedha si kwa sababu watu hawachangii bali ufisadi!
Pamoja na serikali kuipigia promo Bima ya Afya kwa wote kwamba itakuwa mkombozi kwa afya ya wananchi, naiona vingine:
1. Watakaoiongoza ni watanzania wale wale walioipeleka NHIF ICU
2. Inalazimisha watu kujiunga nayo: Wastaafu, wenye magari, wanafunzi wa vyuo vikuu lengo likiwa kuongeza mapato na siyo kuwapa nafuu ya gharama za afya.
3. Sisi tuliopo Kibondo, Kigoma itatugharimu zaidi kupata huduma Muhimbili kuliko waliopo DSM.
4. Ni kutokana na sababu hizo ndiyo maana naiona Bima ya Afya kama muendelezo ule ule wa tozo kwa kujificha nyuma ya afya kwa wote.
Wewe ndio hujaelewaIpo tofauti ya bima na yanayosemekana malengo. Elewa mada.
Tatizo unataka ujiandike, ujisome, halafu wote tuamini ulichoandikaSoma Kwa kutulia utaelewa
https://www.jamiiforums.com/threads...a-serikali-msitake-faida-tu-wekezeni.2052039/
Eleza tofauti wewe uliyeelewa si ndiyo ustaarabu?Wewe ndio hujaelewa
Utakuwa umeguswa, siyo bure. Ukweli haujawahi kuwa mtamu - JPM.Tatizo unataka ujiandike, ujisome, halafu wote tuamini ulichoandika
Bias
Ila kutokea kwenye kodi na tozo hakupaswi kuwepo ahueni yoyote?Sawa ila pamoja na mapato xaidi ni kupata Nguvu kubwa ya kuhudumia hasa kwenye sekta ya Afya.
"... kutokea kwa walamba asali au chawa wa Mama"Mwenye hii thread anahitaji msaada mkubwa
HazitoshiIla kutokea kwenye kodi na tozo hakupaswi kuwepo ahueni yoyote?
Ila za kununulia magari ya walamba asali wote kila wanapojisikia, hizo zinatosha?Hazitoshi
Unaongea mambo tuu ya kijinga Kwa sababu hujui serikali inavyofanya kazi.Kwa hiyo magari ya viongozi ni mengi kuliko magari ya taasisi za kazi? Mfano Meneja wa TanRoads Mkoa anaweza kuwa na magari 2 ya utawala lakini ya waenda site Yako zaidi ya 4 hiyo ni taasisi Moja Sasa inawezekanaje magari ya utawala yakawa mengi kuliko ya watendaji? Nenda Halmashauri uone..Hesabu magari ya walamba asali wote uone. Usiache mmoja. Hayo ni magari tu.
Unajua kwanini hatupaswi kuzijua siri za serikali? Unazijua posho, mishahara na marupurupu yao? Unajua tozo na kodi wasizolipa? Nk, nk.
Kwamba si nyingi? Si nyingi maana yake nini? Kwani nyingi huanza na ngapi?
Hata kuwa haba na haba kujaza vibaba hukuwahi kusikia?
Unaongea mambo tuu ya kijinga Kwa sababu hujui serikali inavyofanya kazi.Kwa hiyo magari ya viongozi ni mengi kuliko magari ya taasisi za kazi? Mfano Meneja wa TanRoads Mkoa anaweza kuwa na magari 2 ya utawala lakini ya waenda site Yako zaidi ya 4 hiyo ni taasisi Moja Sasa inawezekanaje magari ya utawala yakawa mengi kuliko ya watendaji? Nenda Halmashauri uone..
Swala la posho ni haliepukiki,huwezi mtoa nesi au daktri au Polisi usiku au Nje ya kituo Cha kazi bila posho,huwezi mtoa injinia akashindwa maporini huko eti unamlipa salary,wewe hujui hata unachoongea..
Kuna watu wanazijua Siri za serikali hizo sio za Kila mtu hatakaa itokee na Wala haipo kokote Duniani..
Ulovyo taahira unadhani Katiba Mpya ndio itakuletea ugali,kawaulize Kenya,Malawi,Zambia,South Africa,Ghana nk kama Katiba zao za kubadilishana madaraka zimewaletea maendelea na unafuu wa Maisha..
Ndio maana nakwambia nyie ni wajinga,kwani hoja Yako imetofautisha? Si mnasema serikali imenunua magari ya walamba asali Kwa bil.600 mlitofautisha?Nikuase - mmpewa angalizo kujibu Kwa hoja si matusi. Tayari mmekwisha sahau?
Tofautisha walamba asali kwa upande mmoja na manesi, madaktari, polisi, au walala hoi wote kwa upande mwingine.
Zingatia matusi yote uliyotamka yanakuakisi wewe zaidi.
Ama kweli nyani haoni kundule.
Ndio maana nakwambia nyie ni wajinga,kwani hoja Yako imetofautisha? Si mnasema serikali imenunua magari ya walamba asali Kwa bil.600 mlitofautisha?
Unaposema posho wapi ulipotofautisha?
Acha utoto