Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
M
Sera ya bima ya afya na malengo yake yote yamedadavuliwa kwenye muswaada wake. Ndio maana nikakuuliza umeusoma naunaweza kudadavua hiyo sera ya bima ya afya kwa wote. Huwezi kukimbilia malengo kama hujui unachokifanya ni nini, sasa tunaomba utuelezee hiyo sera ya bima ya afya kwa wote ikoje. Kama huwezi au hujui basi still wewe ni mshabiki. Ukikimbilia kusoma malengo kumbe hata concept yenyewe huijui basi hutumii busara. Idadavue hiyo sera na mimi nitakujibu maswali yako kwanini malengo yake yapo ivyo kama wewe mwenyewe utashindwa kung'amua.1. Unaelewa tofauti ya bima hii na malengo ya bima hii kama nilivyokutafadhalisha mara kadhaa hapo awali?
2. Tunaweza kujielekeza kwenye tatizo halisi kwa lengo la kujadiliana kistaarabu badala ya kuruka ruka huku na kule na kuitana majina ya ajabu ajabu hali hatujuani?
Labda tuanzie hapo?