Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

Hata wafanya biashara wa bima hutongoza Kwa kuelezea faida za bima ukijiunga nao. Hawa ni wabakaji tu, wenye kuelezea wazi kuwa wanataka faida kutoka kwa ambao hawaumwi huku wao wakitumbua.

Disgusting!
Una mtoto?

Je ana bima au walipa cash?
 
Public funds zinavyo tapanywa sasa na hao NHIF sasa acha kabisa najisikiaga vibaya sana nikiona invoice ya bima, pole sana taifa langu Tanzania.
Kwani walipa kiasi gani kwa mwaka na watibiwa kiasi gani?
 
Sawa ila pamoja na mapato xaidi ni kupata Nguvu kubwa ya kuhudumia hasa kwenye sekta ya Afya.
 
Mwenye hii thread anahitaji msaada mkubwa
"... kutokea kwa walamba asali au chawa wa Mama"

Ulihitaji maneno hayo kuikamilisha sentensi yako. Kwa hakika ungeeleweka vyema.
 
Unaongea mambo tuu ya kijinga Kwa sababu hujui serikali inavyofanya kazi.Kwa hiyo magari ya viongozi ni mengi kuliko magari ya taasisi za kazi? Mfano Meneja wa TanRoads Mkoa anaweza kuwa na magari 2 ya utawala lakini ya waenda site Yako zaidi ya 4 hiyo ni taasisi Moja Sasa inawezekanaje magari ya utawala yakawa mengi kuliko ya watendaji? Nenda Halmashauri uone..

Swala la posho ni haliepukiki,huwezi mtoa nesi au daktri au Polisi usiku au Nje ya kituo Cha kazi bila posho,huwezi mtoa injinia akashindwa maporini huko eti unamlipa salary,wewe hujui hata unachoongea..

Kuna watu wanazijua Siri za serikali hizo sio za Kila mtu hatakaa itokee na Wala haipo kokote Duniani..

Ulovyo taahira unadhani Katiba Mpya ndio itakuletea ugali,kawaulize Kenya,Malawi,Zambia,South Africa,Ghana nk kama Katiba zao za kubadilishana madaraka zimewaletea maendelea na unafuu wa Maisha..
 

Nikuase - mmpewa angalizo kujibu Kwa hoja si matusi. Tayari mmekwisha sahau?

Tofautisha walamba asali kwa upande mmoja na manesi, madaktari, polisi, au walala hoi wote kwa upande mwingine.


Zingatia matusi yote uliyotamka yanakuakisi wewe zaidi.

Ama kweli nyani haoni kundule.
 
Ndio maana nakwambia nyie ni wajinga,kwani hoja Yako imetofautisha? Si mnasema serikali imenunua magari ya walamba asali Kwa bil.600 mlitofautisha?

Unaposema posho wapi ulipotofautisha?

Acha utoto
 
Ndio maana nakwambia nyie ni wajinga,kwani hoja Yako imetofautisha? Si mnasema serikali imenunua magari ya walamba asali Kwa bil.600 mlitofautisha?

Unaposema posho wapi ulipotofautisha?

Acha utoto

Utoto na ujinga unao wewe ndiyo maana mwenye chawa aliwaasa.

Kama wananchi tusiyoyaafiki tuliwaambia kwa nia njema. Shupazeni shingo.

https://www.jamiiforums.com/threads...tautafuna-mfupa-uliowashinda-wengine.2059998/

Ninakazia:

"Lissu na CHADEMA watautafuna mfupa uliowashinda wengine"​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…