Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

M
Sera ya bima ya afya na malengo yake yote yamedadavuliwa kwenye muswaada wake. Ndio maana nikakuuliza umeusoma naunaweza kudadavua hiyo sera ya bima ya afya kwa wote. Huwezi kukimbilia malengo kama hujui unachokifanya ni nini, sasa tunaomba utuelezee hiyo sera ya bima ya afya kwa wote ikoje. Kama huwezi au hujui basi still wewe ni mshabiki. Ukikimbilia kusoma malengo kumbe hata concept yenyewe huijui basi hutumii busara. Idadavue hiyo sera na mimi nitakujibu maswali yako kwanini malengo yake yapo ivyo kama wewe mwenyewe utashindwa kung'amua.
 

Umeshindwa kujibu lolote ili kuweka msingi wa majadiliano yoyote kuwa yenye tija.

Yalikuwapi maswali matatu pale. Ulijibu hata moja?

Tunayo taabu na serikali hii na mengi ya inayoyaleta kupitia mashinikizo. Bima ya afya kwa lazima ni moja ya yaliyo na ukakasi.

Usingependa manung'uniko yetu ikiwamo ya bima hii kusikilizwa au hata kupatiwa ufumbuzi ikibidi?
 
Bima bi muhimu sana. Unless hayajakukuta
Inategemea unazungumzia aina gani ya Bima na aina ya ugonjwa. Mfano una tatizo la Figo au kansa na bima yako ni CHF iliyoboreshwa au NHIF utapata hayo matibabu?
 
Hivi hospital ni nini? Ni Majengo makubwa makubwa peke yake?
 
Bima ya afya aitolewi na NHIF pekee tafuta bima nzuri kwaajiri yako na familia yako bima ni muhimu sana unaongea hayo nadhani ujawahi kuuguza
Ungesoma uzi kwa utulivu ungeelewa mwandishi anachokisema,umeisoma kwa kukimbia hujaelewa maana.
 
Kama hizo hosipitali zilizojengwa kila kanda ziko vizuri, iweje viongozi wanaenda kutibiwa nje ya nchi?
 
Uzuri wa sera siyo lazima ziaksi huduma bora. Mifuko ya pension ilivyokaribia kufa ilikuwa ni kwa sababu ya kukosa sera nzuri?
 
Uguza kwa Cash for one year then lete mrejesho kwenye uzi wako .... Ndugu wanakimbia wagonjwa mahospitalini huko . Bima ya Afya siyo lazima uugue ndio ukate ... inaitwa cost sharing ... walio wazima na wagonjwa mnachangiana katika matibabu coz hata wale wazima wanaweza kuwa wagonjwa muda wowote hivyo changa kabla hujachangiwa.

Bahati mbaya umelielewe in different point of view ... lakini lengo ni zuri... unahitaji msuri wa kifedha kuendesha huduma za Afya kwa community yotee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…