Lengo la dhati la chadema si katiba, bali vifungu ndani yake vitakavyowasaidia kushinda

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
 
Attachments

  • F6xfq_lXcAAF1vV.jpeg
    F6xfq_lXcAAF1vV.jpeg
    131.1 KB · Views: 1
This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Na lengo la CCM ni kuhakikisha katiba haibadiliki ili iendelee kukaa madarakani?
 
This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Suala la katiba halipo
Kafanyeni kazi
 
Haya ma CCM yatatoka madarakani siku wakigombana wao kwa wao.
 
This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
STUPID, alisema Rais wa nchi, mama Samia. Ni vifungu gani wanataka virekebishwe, viondoke na ushahidi wake tuwekee hapa, short of that Rais samia alisema STUPID!
 
Wananchi
Kenya mpk wameuana imewasaidia nini?Katiba ni kwa manufaa ya Wanasiasa tu
Unasite Kenya vp huko Denmark na Australia nako hakujawasaidia, unabwabwaja kama mlevi wa pumuni. Kama katiba haina umuhimu Sema ifutwe iliyopo ya 1977 ili turudi kuongozana na utaratibu iliyowekwa wakati wa ukoloni.
 
Iliyopo inatosha,kwani wewe hauishi?
 
This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Ulishawahi kuiona hardcopy ya katiba ya Tanzania? Kwa Nini hakijawahi kuwa sehemu ya masomo kawaida hapa nchini,kwa Nini hawakutaka tuifahamu kwa miaka yote hii Hadi kuifikia Leo Kuna watu wanataka tusomee katiba kwa miaka mitatu! Sasa tujuze na kwa upande huo wana Nia gani? Na kwa Nini wanadhani kuwa hatujui?
 
Back
Top Bottom