Wewe unaomba CCM wakupe katiba mpya il uwatoe madarakani ?Na lengo la CCM ni kuhakikisha katiba haibadiliki ili iendelee kukaa madarakani?
ni sawa na mfungwa kuomba Bwana jela amfungulie geti atoroke kwa kuwa tu kesi aliyofungiwa ni ya dhulma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaomba CCM wakupe katiba mpya il uwatoe madarakani ?Na lengo la CCM ni kuhakikisha katiba haibadiliki ili iendelee kukaa madarakani?
Mna download mambo mengi yasiyo na maana downl utaipata Google!Ulishawahi kuiona hardcopy ya katiba ya Tanzania? Kwa Nini hakijawahi kuwa sehemu ya masomo kawaida hapa nchini,kwa Nini hawakutaka tuifahamu kwa miaka yote hii Hadi kuifikia Leo Kuna watu wanataka tusomee katiba kwa miaka mitatu! Sasa tujuze na kwa upande huo wana Nia gani? Na kwa Nini wanadhani kuwa hatujui?
Kwa Nini iwe lazima google, ni WA Tanzania wangapi Wana google? Kwa hiyo tutegemee kugoogle pia wakati tunasomea katiba miaka mitatu? Hivyo vishikwambi kwa Kila mtanzania vipo?Mna download mambo mengi yasiyo na maana downl utaipata Google!
Kuna mpango sahihi wa serekali utakufikia hapo ulipo na kwa kila mtanzania, sisi tuna Google kwa sababu hujibidisha kutafuta mambo wenyeweKwa Nini iwe lazima google, ni WA Tanzania wangapi Wana google? Kwa hiyo tutegemee kugoogle pia wakati tunasomea katiba miaka mitatu? Hivyo vishikwambi kwa Kila mtanzania vipo?
Ni mkurya,na wewe una nafasi gani kwenye jamii uwasemee kua wanataka katiba?Wananchi wa wapi mko wa ngapi? Na una nafasi gani kijamii kuwasemea nchi nzima?
Ww ni mkenya?
Hivi Kenya ni nchi pekee Duniani kuwa na Katiba mpya?! Kwanini mnapendaga kurejea Kenya kuonesha kuwa Katiba ni kijitabu tu? Kwamba iwe mpya au ya zamani haina impact yoyote kwenye maendeleo ya Nchi?!Wananchi
Kenya mpk wameuana imewasaidia nini?Katiba ni kwa manufaa ya Wanasiasa tu
Haya ma CCM yatatoka madarakani siku wakigombana wao kwa wao.
😀😀😀😀😀Mimi ni from lake zone/kanda ya ziwa, niipigie kura chadema! Hii hii chadema ya kaskazini!!
Sina popote ninapoomba katiba kwa ccm. Na katika vitu sipendi ni huo upuuzi uitwao maridhiano. Ninaamini katiba ya wananchi itapatikana kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Huu ni msimamo wangu wa siku zote na sio hayo maridhiano uchwara.Wewe unaomba CCM wakupe katiba mpya il uwatoe madarakani ?
ni sawa na mfungwa kuomba Bwana jela amfungulie geti atoroke kwa kuwa tu kesi aliyofungiwa ni ya dhulma
Uma yake!!This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Sisi hatuna shida na katiba,ni wanasiasa ndio wana shida nazo
Suala la katiba halipo
Kafanyeni kazi
Wananchi
Kenya mpk wameuana imewasaidia nini?Katiba ni kwa manufaa ya Wanasiasa tu
Siyo kwamba katiba nzima ni mbaya Ila kuna vifungu vinapaswa kuondolewa, vingine kurekebishwa na vipya kuingizwa. Sijuhi wewe unaewalaumu Chadema unatakaje? Si Chadema pekee wenye uitaji wa katiba mpya bali ni wananchi wote. Umeandika kishabiki, wewe tuambie ni chama gani cha siasa kisichotaka kushinda uchaguzi?This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Kwanini itoshe? Kwanini kiliandikwa wakati kabla ilikwepo na watu walikuwa wanaishi?Iliyopo inatosha,kwani wewe hauishi?