Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Na lengo la CCM ni kuhakikisha katiba haibadiliki ili iendelee kukaa madarakani?This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Suala la katiba halipoThis is fact and realitity!

Sisi hatuna shida na katiba,ni wanasiasa ndio wana shida nazoNa lengo la CCM ni kuhakikisha katiba haibadiliki ili iendelee kukaa madarakani?
Sisi hatuna shida na katiba,ni wanasiasa ndio wana shida nazo
Wananchi“Sisi” ? Ww. Na akina nani?
Chawa lazima aridhike aseeIla mkuu wewe unaridhiki na watu kupita bila kupingwa kama ule uchafuzi wa 2020... we huoni kama Tanzania inahitaji tume huru ya uchaguzi??
STUPID, alisema Rais wa nchi, mama Samia. Ni vifungu gani wanataka virekebishwe, viondoke na ushahidi wake tuwekee hapa, short of that Rais samia alisema STUPID!This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Unasite Kenya vp huko Denmark na Australia nako hakujawasaidia, unabwabwaja kama mlevi wa pumuni. Kama katiba haina umuhimu Sema ifutwe iliyopo ya 1977 ili turudi kuongozana na utaratibu iliyowekwa wakati wa ukoloni.Wananchi
Kenya mpk wameuana imewasaidia nini?Katiba ni kwa manufaa ya Wanasiasa tu
Iliyopo inatosha,kwani wewe hauishi?Unasite Kenya vp huko Denmark na Australia nako hakujawasaidia, unabwabwaja kama mlevi wa pumuni. Kama katiba haina umuhimu Sema ifutwe iliyopo ya 1977 ili turudi kuongozana na utaratibu iliyowekwa wakati wa ukoloni.
Iondolewe kabisa na hii iliyopo ili jeshi litawale kwa Sheria za kijeshi.Wananchi
Kenya mpk wameuana imewasaidia nini?Katiba ni kwa manufaa ya Wanasiasa tu
Ulishawahi kuiona hardcopy ya katiba ya Tanzania? Kwa Nini hakijawahi kuwa sehemu ya masomo kawaida hapa nchini,kwa Nini hawakutaka tuifahamu kwa miaka yote hii Hadi kuifikia Leo Kuna watu wanataka tusomee katiba kwa miaka mitatu! Sasa tujuze na kwa upande huo wana Nia gani? Na kwa Nini wanadhani kuwa hatujui?This is fact and realitity!
Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo unawakandamiza, ni vyema elimu ya katiba iliyopo ikasambazwa ili kila mtanzania aisome kwa kina na Kuielewa kwanza ili tutakapoitengeneza mpya 2030 iendane na utanzania wetu pia isije kuwa tatizo ndani ya Taifa letu kwa kuwa chanzo cha mvugano ndani ya Taifa letu,
Alamsiki.
Wananchi