Lengo la dini ni nini?

Lengo la dini ni nini?

"When I was a child, I spoke like a child, I thought like a child, I reasoned like a child. When I became a man, I gave up childish ways." (1 Corinthians 13:11).

Apparently there's existence of a substantial, intelligent, educated atheist/agnostic community, and by the hundreds of mutually contradictory opinions about the gods believed in (i.e., religions). But the evidence for any supernatural beings is clearly inadequate to explain the widespread and profound belief in so many particular ones. Scientific and philosophical argument has, it seems, convinced no one and changed very few minds on the matter.

it cannot explain the ubiquitous belief in gods across almost every culture on Earth because no consensus has developed supporting belief in any of them even after several thousand years of research and debate
sina uhakika kwamba mimi ndo sijaelewa hiyo lugha uliyotumia, au ni wewe haujapangilia vizuri point zako!!
 
"Dini ni serikali ndogo" kuheshimu sheria na utawala ( Rules and Laws ) deni ukivunja sheria lazima uadhibiwe !!

kwa hiyo uinataka kusema kwamba dini ni chombo kilichotengenezwa na baadhi ya watu ili kuitawala jamii ki urahisi?
 
Mbona tumuona na kushuhudia matukio mengi tu ya kulazimisha watu wawe waislam tena hata kuwaua maelfu kwa maelfu...Boko haram ndio kazi waliyo tumwa na kiongozi wenu ambaye sitamtaja kwa sababu maalum..._,hilo unalionaje.?

Hakuna mafundisho hayo katika Uislam mtu yoyote anaweza kutumia dini kufanya atakalo, lakini mafundisho yako wazi kabisa, jisomee:

Qur'an 109:

BISMILLA.GIF
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
109_1.GIF
1. Sema: Enyi makafiri! ***
109_2.GIF
2. Siabudu mnacho kiabudu; ***
109_3.GIF
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. ***
109_4.GIF
4. Wala sitaabudu mnacho abudu. ***
109_5.GIF
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. ***
109_6.GIF
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. ***

 
Dini ni mapokeo..na binadamu ndo wamecreate...zinaweza zikawa na maana na zinaweza pia zikawa hazina maana yoyote. Dini ingeleta maana Kama binadamu wote tungekuwa na imani moja tunaamini kitu kimoja. Sasa dini zipo lukuki kila moja na imani yake na sheria yake. Tuache ipi na tufate ipi

Nikweli. Lakini pia kukiwa na dini moja yenye mashamashaka kama hizi za mapokeo bado itakuwa na madhara kwenye jamii tu. Mfano mtoto akizaliwa na ukamfundisha kuwa kuna moto wa milele na mbingu bado ataathirika kisaikolojia tu.
 
dini zililetwa ili kufaidisha wajanja wachache kama zilivyo serekali
 
mkuu deni wakati mwingine najiuliza hivi lile neno la [ubarikiwe]linafanya kazi kweli, maana tumetamkiwa mara kibao na bado life letu gumu.

wachungaji wamefunga na kuomba mara kibao wakiombea taifa bado hatuendelei

hapa ndo napata picha kuwa haya mambo ya dini ni kuzugana tu
 
Last edited by a moderator:
Tena mtoa mada anapoint sana. Huo ndio mtazamo wake.
..anataka majibu

Point ipi wakati kakiri hata maana ya neno "dini" haijuwi na tumempa darsa kwanza ya neno "dini" ili aelewe dini ni nini.
 
Na kunibeza kote kule, ndio umekuja kutoa mawazo yaliyo ndani ya box kama hayo? mie naona inabidi ufikirie kiupana zaidii

Hapo hakuna wazo, hapo kuna maana ya neno "dini" - kumbuka hilo.

Wewe una dini (njia) yako nami nna dini (njia) yangu.

Tatizo lako ni nini?
 
Kwanza ukumbuke kuwa neno "dini" limetokana na lugha ya Kiarabu, kwa ukaribu kabisa wa kulifafanua Kiswahili, linamaanisha "njia".

Kwa mafunzo ya Uislam dini (njia) ya kufika kwa (ayatakayo) Allah (Mwenyeezi Mungu) ni Uislam (kujisalimisha kwa Allah (Mwenyeezi Mungu) mmoja.

Katika Uislam tunajifunza kuwa hakuna kulazimishana katika dini (njia). Wewe una yako nami nina yangu. Isipokuwa kuna kueleweshana tu na kuelimishana kwa apendae kujuwa.

Bibie Faiza foxy, kupitia dini yako, aya zinasemaje kwa wale watakao acha ama walioacha dini I.e apostasies?
.....Je huko hakumaaishi kulazimisha? Be honest with the answer please..
 
Point ipi wakati kakiri hata maana ya neno "dini" haijuwi na tumempa darsa kwanza ya neno "dini" ili aelewe dini ni nini.
naona unatafuta ushindi, unahisi kinacho-matter ni ushindi?
 
Point ipi wakati kakiri hata maana ya neno "dini" haijuwi na tumempa darsa kwanza ya neno "dini" ili aelewe dini ni nini.

je darasa lako hilo, unadhani nimekubaliana nalo?
 
Unazuga maandiko ya vitabu vyenu hayana kigeu geu, na hao wanao quote kitabu hicho hicho kuhalalisha mauaji ktk jina jihad kama tunayoshuhudia yaliyotukia, unasemaje kuhusu hilo, ni vichwa vyao vibovu kuelewa maandiko au inakuaje kuaje hapo bi mkubwa. There's no logical justification to any stupid current religion madam, it just reveals the ulofa of the individual's state of mind, what is wrong wit you people's brain and heart, the era of idiocy is at its edge, you and your type have to get over it, accept, learn and enlighten your grand kids.
 
Sijaelewa chochote...nehi yaani
sorry nilianza kuandika kwenye simu, baadaye pc, so haikua na mlolongo, ..dini zipo nyingi na sababu zake kwa nini wanadamu wanaamini katika dini na mungu, hazijitoshelezi, ns hii inatokana na uwepo wa aina za dini na miungu mingi sana inayoabudiwa ulimwenguni. mfano wako wanaosema mwanadamu anaamini dini kwasababu anaogopa kufa na kuadhibiwa motoni lakini wako wanaofuata dini wakiamini wakifa hakuna maisha tena. maisha ni hayahaya wayaonayo... na sababu nyingine nyingi... wako wanaosema imewekwa kumcontrol mwanadamu, lakini hapa napo yako maswali ya kupinga hoja hiyo ambayo ni mengi..nk.
kwahiyo sababu za wanadamu kufuata dini hazipo conclusive.. na pengine tunapokuja kuhoji kwanini dini zinachukua furaha yetu ni kwasabu pengine hatuna majibu kwanini tunafuata dini? NAchoweza kusema dini is part and parcel of human being lifetime on earth tp bring both happiness and bitterness.
 
Streight question streight unswer; lengo la dini ni kimtia hofu binadamu
Hofu ya nini ? Jewajua wako watu kwenye dini si kwasababu wanaogopa, bali wanafurahia maisha hayo
 
je darasa lako hilo, unadhani nimekubaliana nalo?

Ukikubalina nalo usikubaliane nalo mimi hainizidishii wala hainipunguzii, hiyo ndiyo maana rahisi ya neno "dini" unless uje wewe upinge hilo na useme kuwa maana ya neno "dini" nini. Kama hujapinga na haujaleta maana nyingine ina maana umekubaliana na maana niliyoielezea hapo juu kidogo. Sidhani, huo ndiyo ukweli.

Huwa sikisii.
 
naona unatafuta ushindi, unahisi kinacho-matter ni ushindi?

Umeuliza, ni nini maana ya "dini" nimekuelezea, sasa huo ushindi chukuwa wewe kama unaona kuna mashindano.

Hilo ni baada kukuuliza kama unajuwa maana ya neno "dini".

Baada ya kukujibu maana ya dini naona umeona kuwa swali lako lililobeba kichwa cha habari halina maana kwani dini (njia) haina malengo, malengo unayo wewe kwa kupita kwenye dini (njia) uitakayo.

Upo hapo ulipo?
 
Dini Ni Mwendelezo Wa Ku Mtune Binadamu Aendane Na Nature Ya Ulimwengu
 
Kutokana na uelewa wangu mdogo sana, dini ama niseme taasisi za kidini kwa kawaida husaidiana na serikali ya nchi husika katika suala zima la kudumisha amani na utulivu katika jamii. Serikali kupitia vyombo vya dola wanafanya kile ambacho naweza kuita physical enforcement ya sheria za nchi wakati taasisi za kidini wana enforce spiritually. Dini zinahimiza na kwa upande mwingine serikali hutumia mabavu, ile yote ni katika lengo la kuhakikisha mambo yanaenda sawia katika jamii inajotuzunguka.
 
Lengo la dini ni kum soften mtu kama FaizaFoxy mwenye itikadi kali ya dini yake kumtafutia na kumpigania mkatoliki (sworn enemy)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom