Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tafsri rahisi ni kuwa kwenye ndoa hakuna kuaminiana.Binafsi nikimuona mwanamke kavaa pete huwa kunakaheshima flani hivi kwake,..na hatakama nimevutiwa nae huwa napita kushoto.
Lengo la wewe kuvaa nguo ni lipi, wakati mwili ni wako binafsi?Ni utamduni uliozoeleka na bila shaka ni wa kimagharibi zaidi ingawa uko dunia nzima.
Swali ni je, kwanini uonyeshe kuwa umeoa au umeolewa?
Kuna mahala watu hatambulika kwa ndoa?
Kama ni kulinda ndoa, ndio iwe kwa kuvaa pete?
Je, hii si mbinu ya kulazimisha watu kuheshimu ndoa?
Mfungwa atambulike kwa mavazi na mwenye ndoa kwa kuvaa pete, hii ni sawa?
Je, hawa wote sio wafungwa katika mazingira tofauti?
Tukumbuke wanawake mpaka pete ya uchumba.
Na je, vitabu vya dini vinaelekeza watu kuvaa pete za ndoa au kujitangaza kuwa nimeoa au nimeolewa?
Sipati majibu kabisa!
Sipati majibu kabisa
Wee unaonekn mtaalamu wa music ya kongo......Mtu akifunga ndoa, anatoa ishara kwa umma wote ili waelewe kabisa kwambaa;
Baninga eeh, nasi na bali..... Botika ngofinela amiso go na nzela. NASI MOBAYE NA BALI (kwaherufi kubwa)
Ndiyo badala ashike kipaza sauti kutangaza, basi avaa pete, au pambo fulani kutoa ujumbe huo subtly, kichinichini.
Faida yake ni inasaidia jamii ili mtu mwingine asitumie nguvu nyingi kuflirt naye kumbe tayari sio fungu lake.
Kwa tunaopenda jamii ya kistaarabu tunaona ni utaratibu mzuri na wa kistaarabu kuliko iwe kila unayepishana naye njiani anakuuliza 'Umeoa?Umeolewa? Aaaaargh!
Hako ka wimbo nilikapenda hadi nikatafuta lyrics zake, hadi nikapata tafsiri ya lyrics zake kazuri sanaWee unaonekn mtaalamu wa music ya kongo......