Lengo lake huyu dada ni nini?

Unapaswa uimalizie story,, hapo watakaochangia ni wale watabiri wa kuunganisha matukio kama wapiga ramli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hawa ndo wale asilimia 71 ambao report imeonyesha hawapend kufanya kaziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii nayo ndoto Kali sana,,,mwanangu bila shaka unajua kuendesha hata ndege,,Seneta wa Nachingwea#Nangwanda sijaona,,
 
Ni kawaida wadada wakiwa wamehamia bado wageni mahali wanatafuta kampani kwa style hiyo.. yule anayeonekana yupo close nao ndio wanajisogeza.

Akishazoea eneo akapata kampani nyingine inakua ngumu kwake kukuzoea.
Huyo dada ni muoga kidogo na wewe umekua mtu sahii wa kumkampani .

Japo mi sio mpiga ramli lakini utani wake, ni kama anataka kwenda mbali zaidi ya kampani..
Enjoy the ride...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…