Lengo lake huyu dada ni nini?

Uje na mrejesho
 
Senator. M twiz na general galadudu you guys mko talented. Wewe jamaa unajua..... Mzee wa kwenda kibaha. Na top speed ya mark X
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi[emoji28] [emoji28] .....eti unapendelea chips kama wanaume wa Dar[emoji2] [emoji2] [emoji2]mazafa......
 
Baaah!!!!....seneetaaa ungeenda kula kannjaaa bana ww baah....mboni unajifanga ngeeeni njini hapaa....chaaa
 
Story yako mwanzo inaaminika lakini mwisho umeharibu...
 
Tochi za bati adimu siku hizi.Unavaa bado chu.p za VIP pia maana nazitafuta kweli inawezekana unajua wanapouza.
 
sigara imepanda bei zaidi ya mara saba watumiaji wapya wamepungua kwa asilimia 95, bangi ikihalalishwa kisha kete ikauzwa buku hizi story za namna hii zitapungua.
 
Hili jamaa linafurahisha sana, sikusoma username yake ila nilipofika katikati ya story na kuona maneno ya KUPISHA SITI YA DEREVA na KUANZA KUIPA FIMBO ZA KUTOSHA na KUOVATEKI magari nikajua tu hizi ni fix za Seneta Wa Mtwiz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…