Lengo lake huyu dada ni nini?

Tochi za bati adimu siku hizi.Unavaa bado chu.p za VIP pia maana nazitafuta kweli inawezekana unajua wanapouza.
MKUU
NINAZO HADI SOKSI ZA PUNDAMILIA
ZENYE MISTARI MYEUPE NA MYEKUNDU.
 
sigara imepanda bei zaidi ya mara saba watumiaji wapya wamepungua kwa asilimia 95, bangi ikihalalishwa kisha kete ikauzwa buku hizi story za namna hii zitapungua.
MKUU
KWANI WE' UNAVUTA SIGARA?

SAMAHANI LAKINI.
 
Hili jamaa linafurahisha sana, sikusoma username yake ila nilipofika katikati ya story na kuona maneno ya KUPISHA SITI YA DEREVA na KUANZA KUIPA FIMBO ZA KUTOSHA na KUOVATEKI magari nikajua tu hizi ni fix za Seneta Wa Mtwiz.
HAAAA. HAAAAAA.HAAAAAAAH!

MKUU,
KUNA MADEREVA WENGINE NI JEURI SANA BARABARANI,
SO NI LAZIMA TUWAOVATEKI KWA NGUVU,

MAANA'KE HAKUNA NAMNA NYINGINE.
 
Nliacha deni bar jana ngoja nkalipe kwanza ntarudi nikushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…