rutabazi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 497
- 293
Uhakika seneta changamkaUNA UHAKIKA MKUU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhakika seneta changamkaUNA UHAKIKA MKUU?
HAAAA. HAAA. HAAAAAAAH!!!Baaah!!!!....seneetaaa ungeenda kula kannjaaa bana ww baah....mboni unajifanga ngeeeni njini hapaa....chaaa
TRUE WORD MKUU,Huuu uandishi ni pesa aisee
ye ndo hana adabu kuweka story za kutungaWEWE HUNA ADABU!
NA KUELEZEA UHALISIA.Kwa kutunga tu unajua
Wanikosha sana mkuu. Njoo pmNAAAAAAAAAAAAAM KIONGOZI.
NA KUZIOVATEKI TIPA ZA MCHANGA KAMA MASIHARA!
MKUUStory yako mwanzo inaaminika lakini mwisho umeharibu...
MKUUTochi za bati adimu siku hizi.Unavaa bado chu.p za VIP pia maana nazitafuta kweli inawezekana unajua wanapouza.
KIDOGO TU KIONGOZI.hahahaaaa seneta wa mitwiz baanaaa
KIPENGELE CHAO KINAENDELEA WALE.Tatizo hujagusia kuhusu wale madada wa mashauzi
unajipendekeza kwangu.NDIO MKUU
JIFUNZE LUGHA,
NI "ILI",
SIO " HILI" KWA MUKTADHA HUO.
NAAAAAMkumbe ndo wewe kwenye picha??pole yako
MKUUsigara imepanda bei zaidi ya mara saba watumiaji wapya wamepungua kwa asilimia 95, bangi ikihalalishwa kisha kete ikauzwa buku hizi story za namna hii zitapungua.
HAAAA. HAAAAAA.HAAAAAAAH!Hili jamaa linafurahisha sana, sikusoma username yake ila nilipofika katikati ya story na kuona maneno ya KUPISHA SITI YA DEREVA na KUANZA KUIPA FIMBO ZA KUTOSHA na KUOVATEKI magari nikajua tu hizi ni fix za Seneta Wa Mtwiz.
NI KWA NIA NJEMA TU LAKINI.Watu kama s3neta madem wanawazimikia kishenzi na mapicha picha yao. ...ukiwa mtu serious you kill the vibe
AMANI SANA MKUU.Uhakika seneta changamka
MKUUHii hadithi kama ya Wile Gamba
NI KINYUME CHAKE.unajipendekeza kwangu.
swissme