Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
- Thread starter
- #141
MKUUNliacha deni bar jana ngoja nkalipe kwanza ntarudi nikushauri
HIYO AVATAR YAKO INA HESHIMA KUBWA SANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUUNliacha deni bar jana ngoja nkalipe kwanza ntarudi nikushauri
natumia kuvu aina ya " Psilocybe cyanescens" nikitaka kuibua fantasy, imagination na innovative idea nimeacha sigara kubwa baada ya kufika dar nikakuta sikuhizi mpaka masaki inatumiwa, si sistadu wala brazameni wakishapiga kijiti wanashushia na viepe kisha wanakuja jf kuleta figisu.MKUU
KWANI WE' UNAVUTA SIGARA?
SAMAHANI LAKINI.
Yan imenifurahishPICHA LA KIHINDI??
KIVIPI MKUU?
MKUUTakataka zingine sihui ni vipi?
swissme
DAAAAAAAAAAAAAAAH!natumia kuvu aina ya " Psilocybe cyanescens" nikitaka kuibua fantasy, imagination na innovative idea nimeacha sigara kubwa baada ya kufika dar nikakuta sikuhizi mpaka masaki inatumiwa, si sistadu wala brazameni wakishapiga kijiti wanashushia na viepe kisha wanakuja jf kuleta figisu.
THE GREATSENETA wa Mtwiz... Bingwa nina kukubali sana... yaani unajituma na kuhudumia watu mbalimbali!!MKUU
SIO "SIHUI"
NI "SIJUI".
NI KWA NIA NJEMA TU LAKINI.
OGOPA SANA MKUU.Yan imenifurahish
Alafu karbu na mwisho nahis utakuwa umepta anakuwa mkeo
Kibongobong wanaita zali la mentali
@ZamiluniTHE GREATSENETA wa Mtwiz... Bingwa nina kukubali sana... yaani unajituma na kuhudumia watu mbalimbali!!
boya kweli wewe.sihui ni neno la kikikuyu mshamba sana weweMKUU
SIO "SIHUI"
NI "SIJUI".
NI KWA NIA NJEMA TU LAKINI.
Ni wajib mkuu... tumbo linahitaji na taifa linahitaji kodi... NON-STOP moving !!@Zamiluni
WEWE NI MIONGONI MWA WATANZANIA WACHACHE WENYE TIJA KATIKA KUPIGA HATUA KWA TAIFA.
MKUUboya kweli wewe.sihui ni neno la kikikuyu mshamba sana wewe
pumba tupu.MKUU
KWA KIFUPI WEWE UMEBUGI,
UMEINGIA CHOO CHA KIUME BILA KUBISHA HODI!
AMANI ITAWALE SANA MKUU,pumba tupu.
swissme
Bingwa Seneta WM, ukisha onaga hvyo ujuwe anataka uchukuwe hiyo gari TYT probox na umpitie swissme mudrivu long hadi Rungwe....MKUU
KWA KIFUPI WEWE UMEBUGI,
UMEINGIA CHOO CHA KIUME BILA KUBISHA HODI!
Mkuu wee panda gari hiyo anakuijia....saa 8 !!!ndio nini?kwani huyo ni demu ana drive tytprobox?nilikuwa sijui mimi napenda wadada sana.
swissme
kaisha olewa huyo.ukizingatia na mimi niko na demu wangu hapa PEEKOCK HOTEL.Mkuu wee panda gari hiyo anakuijia....saa 8 !!!