Pre GE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
 
Leo asubuhi Mwenyekiti wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu?. Unawaorodhesha kwa sababu gani?. Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao. Jibu nililompa ni kuwa mimi sina Chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani?. Mbonna CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Si vibaya kupata idadi kamili ya wanachama wao kwenye eneo lake,hivyo hana kosa wala tatizo ni ww tu ume complicatisha mambo
 
Hakuna kingine wanachofikiria zaidi ya uchaguzi.
CCM wapo radhi kufanya chochote kwenye uchaguzi ili waendelee kuongoza.
Na jitihada zote wanazozifanya ili kuendelea kuongoza si kwa kuwa wana mapenzi mema na Tanzania, la hasha, bali ni kwa sababu ya kunufaika kwao kwa kuwa madarakani.
Uongozi ni kinga dhidi ya maovu wanayoyafanya.
 
Leo asubuhi Mwenyekiti wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu?. Unawaorodhesha kwa sababu gani?. Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao. Jibu nililompa ni kuwa mimi sina Chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani?. Mbonna CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kama wwe ni mwana CCM fuata utaratibu wa chama,na kama siyo mwana CCM wwe endelea na mambo yako mengine! Maisha mbona simple sana,sema wengine mnataka kukuza mambo madogo kua makubwa!!
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Mkuu walau useme basi ni wapi tuelewe, bila hivyo ni uzushi
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kadi za CCM kuorodheshwa na kuandaa RIGGING tendeni haki mtaichoma moto siku moja na wote tutaathirika
 
Wewe sio mwanachama wa CCM. Wanaorodhesha wanachama wa CCM sasa wewe mchecheto wa nini?Umedai huna chama kwa hiyo zoezi hilo halikuhusu kwani wewe sio mwana CCM.
Au hutaki waorodheshe wanachama wao?
 
Si vibaya kupata idadi kamili ya wanachama wao kwenye eneo lake,hivyo hana kosa wala tatizo ni ww tu ume complicatisha mambo
Ni vibaya tena sana, hiyo sensa inamanufaa gani kwa jamiii au ni kwa manufaa ya wat wachache. Mbona hawapitishi hiyo sensa kujua wangapi hawana vyeti vya Taifa, au kujua wangapi wahawana ajira maalumi au wangapi hawana bima ya afta. Ni ujinga ujinga tu wa watu wsliozoea dhuluma.
 
Wenye CREDIT PASSES tumeshajua kinachoendelea. Umemkomesha, wamezoea kuagizwa km majini bila hata kuhoji. Badala ya kutatua shida za watu yeye anasmka mapema kukuhongea mlango eti hakuhesabu na wala hajui km familia yako ilikula usiku ama la.

Chama kongwe kinakosaje orodha ya wanachama wenye kadi wakati pindi wanajiandikisha waliacha taarifa zote ofisini. Na je wanajuaj km siku ya kupiga kura utakuwa hapo nyumbani. Na kwanini hili jambo la sensa hufanywa na chama kimoja tu. What is the hidden agenda behind.

Kila kitu ni kuchakachua chakachua tu halafu mtegemee maendeleo. Wengine wakifanya tu hivyo jela zinajaa, very sympathetic. Halafu wale wachumia tumbo aka wazee wa kujipendekeza ili kupata teuzi bado wanaona siyo tatizo.
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa ndio maandalizi yake hayo,hata mimi nimewahi kuulizwa nikamjibu kuwa sina kadi ya chama chochote cha siasa na wala sitaki kusikia,kuna mama mmoja wa jirani aligoma kabisa kujibu chochote kile
 
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.

Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Duuuh
 
Kuna ubaya chama kutambua wanachama wake kama sio ccm wala usitoke povu!
 
Back
Top Bottom