Si vibaya kupata idadi kamili ya wanachama wao kwenye eneo lake,hivyo hana kosa wala tatizo ni ww tu ume complicatisha mamboLeo asubuhi Mwenyekiti wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu?. Unawaorodhesha kwa sababu gani?. Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao. Jibu nililompa ni kuwa mimi sina Chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani?. Mbonna CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kama wwe ni mwana CCM fuata utaratibu wa chama,na kama siyo mwana CCM wwe endelea na mambo yako mengine! Maisha mbona simple sana,sema wengine mnataka kukuza mambo madogo kua makubwa!!Leo asubuhi Mwenyekiti wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu?. Unawaorodhesha kwa sababu gani?. Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao. Jibu nililompa ni kuwa mimi sina Chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani?. Mbonna CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Mkuu walau useme basi ni wapi tuelewe, bila hivyo ni uzushiLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kadi za CCM kuorodheshwa na kuandaa RIGGING tendeni haki mtaichoma moto siku moja na wote tutaathirikaLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Ni vibaya tena sana, hiyo sensa inamanufaa gani kwa jamiii au ni kwa manufaa ya wat wachache. Mbona hawapitishi hiyo sensa kujua wangapi hawana vyeti vya Taifa, au kujua wangapi wahawana ajira maalumi au wangapi hawana bima ya afta. Ni ujinga ujinga tu wa watu wsliozoea dhuluma.Si vibaya kupata idadi kamili ya wanachama wao kwenye eneo lake,hivyo hana kosa wala tatizo ni ww tu ume complicatisha mambo
DuuuhLeo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Kuna ubaya chama kutambua wanachama wake kama sio ccm wala usitoke povu!Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao.
Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni raia mwema hapa mtaani. Nikakataa kuorodheshwa na akaondoka. Nauliza kuna tatizo gani? Mbona CCM inaorodhesha watu karibu na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Jambo hili linatakiwa likemewe kwa nguvu zote.
Si vibaya kupata idadi kamili ya wanachama wao kwenye eneo lake,hivyo hana kosa wala tatizo ni ww tu ume complicatisha mambo