Pre GE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunaomba ushirikiano wenu ili tuandae bajeti za tisheti, kofia, kanga na madera.
 
mkuu wanakuja wanaCCM kukinukisha
 
Inayotafutwa ni namba Yako ya nida,

Wakiipata hiyo, taarifa zako zitatumika kutengeneza kadi fake ya mpiga kura itakayotumika kupiga kura katika vituo fake hewa watakavyotengeneza.

Makinika.
 
Kawaida mkuu utaratibu wa chama wanahakiki wanachama sehemuhusika m niliwapa ushirikiano n rahisi tu unamjibusina. Na mm niko simba sc soo yanga simple wale usiwajibuuovyo wanamdawao utawatafuta kwa magotiii napitatu
 
Hakuna tatizo, Mjumbe ni wa CCM na anatafuta wana CCM awaorodheshe ili kupata idadi ya Wanachama, tatizo liko wapi? Kama wewe si mwana CCM utamueleza tu na yeye atajiondokea kama ulivyofanya. Utakemea vipi jambo hilo kufanywa wakati hawatumii resources za Serikali bali wanazurura tu kwa marapa yao yaliyoisha upande mmoja wa visigino
 
Mazoea ndo yametufikisha hapo
 
Keyboard warriors kwa kelele na kujitapa nyuma ya keyboard ni majasiri sana.
Ukweli ukidhihiri hata mlio wa burst ya tairi wanakimbilia chooni.
Bomu la machozi ndio hata usiseme.
Ndivyo mnavyo danganyana huko chamani siyo? Kuna siku utakuwa na hayo mabomu na utavunjiwa yai pamoja na mabomu yako
 
🤔🤔🤔
 
Ndivyo mnavyo danganyana huko chamani siyo? Kuna siku utakuwa na hayo mabomu na utavunjiwa yai pamoja na mabomu yako
Endelea kuota ukimaliza chunga usijinyee.Huna hiyo jeuri.
 
Mie walikuja kwangu nikawatoa nduki na panga qudadadeqi, wahalifu wakija kwako wafukuze kwa kutumia silaha za maangamizi mkuu...☹️
 
Hapo ndipo CCM inapowapigia. CCM na mashina yake ni kama Kanisa Katoliki na Jumuiya zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…