Pre GE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
KUNA ZOEZI LA KUHAKIKI WANACHAMA HAI, NI UTARATIBU WA KAWAIDA KWA HESABU YA HARAKA HARAKA WANA CCM TUMEFIKIA 12.5 MILIONI.
 
Alikuwa na stress lkn siyo mbaya kujua uko mlengo upi maana fursa kwasasa zinawafuata wanakijani kumbuka kuna uchaguzi mkuu
 
wew na wenye fikra kama zako mshiriki, msishiriki, ilimradi akidi ya kutosha ipo na ni ya uhakika, mambo yatafanyika bila mbambamba yoyote, kwa kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na katiba ya nchi bila kujali wenye mihemko na ghadhabu zisizo na maana yoyote, watasusa, watagoma au kuzira kushiriki uchaguzi
 
Reactions: Tui
Sio nyie kushiriki tu, hata mkitaka kaanzeni kupanga mstari Sasa kwenye vituo vya kura mkisubiri siku ya kupiga kura, lakini hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki huo utoto.
 
Mimi ukitaka tuongee vizuri tumalize mjadala tujadili vyoote ila usizungumzie Itikadi za Kidini na Kisiasa nitakutimua vibaya mno mimi si mteja wa walaji.
 
Kwanini likemewe? CCM ina watu, tunaojiorodhesha, kama wewe umekataa ulilazimishwa?
 
Hilo ni 100%. Tupo tayari kufanya chochote cha halali tushinde uchaguzi kwa kishindo.

Kwani kuoridhesha watu na kuwakumbusha kujiandikisha nyumba kwa nyumba ni kosa?
 
Hilo ni 100%. Tupo tayari kufanya chochote cha halali tushonde uchaguzi kwa kishindo.

Kwani kuoridhesha watu na kuwakumbusha kujiandikisha nyumba kwa nyumba ni kosa?
Dada FaizaFoxy wewe ni mshika dini, hivi kweli huoni ukweli wa CCM "kuchochora"!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…