Hivi,huo mwenge huwa ukifika ndiyo nyege zinawashika watu au huwa ni nini hasa kinawakumba?Zitakuepo za kutosha tu
Unazindua mradi gani hapo nyamhongolo?Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
Ngoja nije kuupuliza uzimeSisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
KAULI MBIU: "JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"
Wajichunge.Mob psychology itawaua kizembe.palipo na makusanyiko hivyo vitu ni kawaida sana
Kawashe sigara kabisa.Ila,watakubonda hadi uchakae chakachaka hata uji ushindwe kunywa.Ngoja nije kuupuliza uzime
October?Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
KAULI MBIU: "JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"
Sasa hapo alichokieleza na kukamatwa ili abinywe kunahusiana nini?Watu kama wewe mkikamatwa mkabinywa makende utaongea tu ukweli