Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,230
- 5,734
Mwisho wenu upo hamta ishi Dunia hii milele.Uwe na siku njemaWatu kama wewe mkikamatwa mkabinywa makende utaongea tu ukweli
Mwisho wenu upo hamta ishi Dunia hii milele.Uwe na siku njemaWatu kama wewe mkikamatwa mkabinywa makende utaongea tu ukweli
Ameudharau kimoyomoyo.Huruhusiwi na ni kosa kuudharau mwenge wa uhuru
Hapo nyamhongolo wanapokatisha tiketi zile mia mia hawarudishi ng'o unajibiwa kiwepesi tu kua hatuna mia ..wizi mkubwa na watu wameridhika tuUnazindua mradi gani hapo nyamhongolo?
Tutakamata wangapi kwa sababu ya moto?Mtu kama huyo akilopoka hadharani hatuwezi kumvumilia itabidi akamatwe akajibu
Usherehekee nininsas na li mwenge lenu kumaliza tu kodi zetu .mbweha nyieKaribu tusherekee la umalaya ni tabia binafsi sisi tupo kuukaribisha mwenge basi hatuwezi kuwacontrol watu wazima
Kwendeni huk hebu mwisho menu 29thmxiewMtu kama huyo akilopoka hadharani hatuwezi kumvumilia itabidi akamatwe akajibu
Hata akina Yahaya nao hujiita viongozi wa sirkale.Kwa akili hizi kweli wewe ni kiongozi wa serikali?
Sisi kama serikali tumekamilisha baadhi ya miradi hapa jijini mwanza haikuwa rahisi na lazima tujipongeze kwa hilo wakazi wa kishiri hadi igoma wamepigwa lami maji yakutoshaUsherehekee nininsas na li mwenge lenu kumaliza tu kodi zetu .mbweha nyie
Leo October 26?Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
KAULI MBIU: "JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"
Pyeee nenda nyakato vumbi tupu shenziSisi kama serikali tumekamilisha baadhi ya miradi hapa jijini mwanza haikuwa rahisi na lazima tujipongeze kwa hilo wakazi wa kishiri hadi igoma wamepigwa lami maji yakutosha
Mbio za mwengi ni ishara ya ukosefu wa maono kwa watawalaSisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
KAULI MBIU: "JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"
Jiji la Mwanza ilikuwa jana na tulisherehekea na kukesha kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kishiri. Leo upo Manispaa ya Ilemela na utakesha hapo Nyamhongholo! Sisi tupo tunakunywa supu baada ya kuukabidhi kwa Ilemela leo asubuhi!Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
KAULI MBIU: "JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"
Fake PKumbe nililala sana🥺🥺 Toka 25 Aug naamkia 26 Oct.