Qumamaemkituongezea muda na nyakato nayo itapigwa lami
Kuna mwaka ulilala Kiwalani nilichakata pisi tatu, mbili nilitumia kinga ya mwisho nikatembelea rimMwengeee ni umalaya na ulevi tu unapo lala,nakumbukaa mwaka jana linilikua mwanza...ukalala centre buhongwa shuleni
Na palivyo papana sijui itakuwaje😅💔Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
KAULI MBIU: "JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"
Asante kwa taarifaSisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo .
Kila kitu kitakuepo kama
●Pombe
●Nyama choma
●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira
●Na burudani za kutosha kabisa
Mkesha hadi majongoo hakuna kulala.
LINDA AFYA YAKO, TUMIA KINGA
KAULI MBIU: "JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU"