Leo Agosti 26 ni siku ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Mwanza katika viwanja vya Nyamhongoolo

Unazindua mradi gani hapo nyamhongolo?
Hapo nyamhongolo wanapokatisha tiketi zile mia mia hawarudishi ng'o unajibiwa kiwepesi tu kua hatuna mia ..wizi mkubwa na watu wameridhika tu
 
Karibu tusherekee la umalaya ni tabia binafsi sisi tupo kuukaribisha mwenge basi hatuwezi kuwacontrol watu wazima
Usherehekee nininsas na li mwenge lenu kumaliza tu kodi zetu .mbweha nyie
 
Kwa akili hizi kweli wewe ni kiongozi wa serikali?
 
Usherehekee nininsas na li mwenge lenu kumaliza tu kodi zetu .mbweha nyie
Sisi kama serikali tumekamilisha baadhi ya miradi hapa jijini mwanza haikuwa rahisi na lazima tujipongeze kwa hilo wakazi wa kishiri hadi igoma wamepigwa lami maji yakutosha
 
Leo October 26?
 
Sisi kama serikali tumekamilisha baadhi ya miradi hapa jijini mwanza haikuwa rahisi na lazima tujipongeze kwa hilo wakazi wa kishiri hadi igoma wamepigwa lami maji yakutosha
Pyeee nenda nyakato vumbi tupu shenzi
 
Mbio za mwengi ni ishara ya ukosefu wa maono kwa watawala
 
Jiji la Mwanza ilikuwa jana na tulisherehekea na kukesha kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ya Kishiri. Leo upo Manispaa ya Ilemela na utakesha hapo Nyamhongholo! Sisi tupo tunakunywa supu baada ya kuukabidhi kwa Ilemela leo asubuhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…