Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Huko wanakotoka hao wachunguzi ni kusafi kiasi gani?..mimi naamini wachunguzi toka nje wataweza kulisafisha jeshi la Polisi, na vyombo vingine vya dola, na tuhuma za utekaji na mauaji.
Marehemu kibao ni baba yake na Mnyika?Baba yako akiuwawa na jeshi la polisi kuwa mtuhumiwa wa uuaji huo, utakubali polisi wakuite ukawasaidie uchunguzi wa kifo chake wakati umedai timu ya kijaji ndio ifanye huo uchunguzi?
Hivi watu kama nye mnatumia nini kufikiri lakini mnapoanzisha thread kama hizi? Kweli tumefikia mahali hapa pa wajinga wengi kutuchagulia wajinga wenzao kuwa viongozi wetu?
Hata kama huna akili, jifiche watu wasikujue.Ndo maana tunasema chadema iangaliwe kwa jicho la pekee Sana kwenye haya yanayoendelea nchini
Wewe ndo mchunguzi?Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Hamna cha bure......hela tutalamba na ufirauni wao wabaki nao hukohukoHao mabeberu ndio wanatupatia mikopo ya riba nafuu 🙂 🙂
Huko wanakotoka hao wachunguzi ni kusafi kiasi gani?
Huo wajibu wa hao watu wa “nje” kuchunguza na kusafisha ya nchi nyingine walipewa na nani? Chini ya sheria ipi?
Na yule mwizi wa magari eti analalamikaNdo maana tunasema chadema iangaliwe kwa jicho la pekee Sana kwenye haya yanayoendelea nchini
Hivi hao ndio walimuitaga SOKA na baadae haonekani?Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Wanauana wao kwa waoNi hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Wewe nani wa kunifundishaMuogope Mungu.
Unapajuq ununio
Akili za kiccm bana! sasa aende polisi kufanya Nini wakati wao wameamua kuteka na kuua badala ya kulinda raiaNi hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Umemaliza mkuu salute kwako. Wanasiasa siwakuwaaminiusiwaamini wanasiasa sana leo ni hivyo kesho mambo yakibadirika utajionea vichekesho!,hilo jeshi wanalolisema kesho wakipata hatamu yakushika uongozi kauli zitabadirika hutakaa uamini!
hilohilo jeshi ndo litakuwa kipenzi chao...
maisha ya siasa huwa yamejaa ndimi mbilimbili,ukiwakubali wanasiasa tembeanao kwa umakini sana utaachwa mataa!.
Umenikumbusha kuhusu kujitekenya yaani unatamani watu wakuone kwamba una furaha ili kufanikisha hilo unaamua kujitekenya..Chadema wamesema hawana imani na jeshi la Polisi. Na wameweka wazi kwamba hawatashirikiana na jeshi hilo ktk uchunguzi wa matukio ya utekaji. Badala yake Chadema wamesema wako tayari kushirikiana na WACHUNGUZI HURU WA KIMATAIFA, na wameisihi serikali iwaite haraka.
Na kulikua na trafik ndan unaambiwaHivi Dreva wa lile Basi si yupo, vipi abiria nao si wapo, kumbe Mnyika naye alikuwa kwenye lila Basi kama abiria?