Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

..mimi naamini wachunguzi toka nje wataweza kulisafisha jeshi la Polisi, na vyombo vingine vya dola, na tuhuma za utekaji na mauaji.
Huko wanakotoka hao wachunguzi ni kusafi kiasi gani?

Huo wajibu wa hao watu wa “nje” kuchunguza na kusafisha ya nchi nyingine walipewa na nani? Chini ya sheria ipi?
 
Attachments

  • 20240918_125006.jpg
    20240918_125006.jpg
    75.9 KB · Views: 2
Baba yako akiuwawa na jeshi la polisi kuwa mtuhumiwa wa uuaji huo, utakubali polisi wakuite ukawasaidie uchunguzi wa kifo chake wakati umedai timu ya kijaji ndio ifanye huo uchunguzi?
Marehemu kibao ni baba yake na Mnyika?

Imeshathibitishwa kwamba kauawa na polisi?

Hivi watu kama nye mnatumia nini kufikiri lakini mnapoanzisha thread kama hizi? Kweli tumefikia mahali hapa pa wajinga wengi kutuchagulia wajinga wenzao kuwa viongozi wetu?
 
Hivi Dreva wa lile Basi si yupo, vipi abiria nao si wapo, kumbe Mnyika naye alikuwa kwenye lila Basi kama abiria?
 
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.

Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.

Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?

NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Wewe ndo mchunguzi?
 
Huko wanakotoka hao wachunguzi ni kusafi kiasi gani?

Huo wajibu wa hao watu wa “nje” kuchunguza na kusafisha ya nchi nyingine walipewa na nani? Chini ya sheria ipi?

..kinachoweza kusema ni kwamba vyombo vya kimataifa vilivyopendekezwa viko vizuri na vina weledi.

..pia kuna mazingira ya kutuhumiana, hivyo wachunguzi toka nje watasaidia kufanya kazi ya uchunguzi bila kuendelea wala kukandamiza upande wowote.
 
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.

Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.

Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?

NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Hivi hao ndio walimuitaga SOKA na baadae haonekani?
Hivi hao ndio walimkamataga yule jamaa wa Handeni wakakana kuwa naye siku 29 baadae wakakiri kumshikilia?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.

Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.

Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?

NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Wanauana wao kwa wao
MBOWE YUPO QATAR
 
Sativa amepona na amesema yupo tayari kuwatambua waliompiga risasi na kumtupa porini , mbona hamjamuita?
 
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.

Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.

Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?

NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Akili za kiccm bana! sasa aende polisi kufanya Nini wakati wao wameamua kuteka na kuua badala ya kulinda raia
 
usiwaamini wanasiasa sana leo ni hivyo kesho mambo yakibadirika utajionea vichekesho!,hilo jeshi wanalolisema kesho wakipata hatamu yakushika uongozi kauli zitabadirika hutakaa uamini!
hilohilo jeshi ndo litakuwa kipenzi chao...
maisha ya siasa huwa yamejaa ndimi mbilimbili,ukiwakubali wanasiasa tembeanao kwa umakini sana utaachwa mataa!.
Umemaliza mkuu salute kwako. Wanasiasa siwakuwaamini
 
..Chadema wamesema hawana imani na jeshi la Polisi. Na wameweka wazi kwamba hawatashirikiana na jeshi hilo ktk uchunguzi wa matukio ya utekaji. Badala yake Chadema wamesema wako tayari kushirikiana na WACHUNGUZI HURU WA KIMATAIFA, na wameisihi serikali iwaite haraka.
Umenikumbusha kuhusu kujitekenya yaani unatamani watu wakuone kwamba una furaha ili kufanikisha hilo unaamua kujitekenya
 
Back
Top Bottom