Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

SATIVA si ameshamtaja Mafwele, wamefikia hatua gan??

Yan washukiwa wa kwanza (waliojitambulisha kuwa ni Polisi na kumchukua kwenye gari) ndo hao hao ukawasaidie kwenye upelelezi??

Hizo ni akili au matope?.
 
Wewe nawe wa hovyo kabisa,hoja Gani hizi Sasa.
1😀ereva na Kondakta wa Basi ameitwa?
2:Mmiliki wa Basi waneitwa?
3:Abiria waliokuwemo kwenye basi Taarifa zao si zipo, kwanini wasiitwe?
 
Wewe nawe wa hovyo kabisa,hoja Gani hizi Sasa.
1😀ereva na Kondakta wa Basi ameitwa?
2:Mmiliki wa Basi waneitwa?
3:Abiria waliokuwemo kwenye basi Taarifa zao si zipo, kwanini wasiitwe?
Mnakimbia nini?
 
Sativa ni mhuni Kama wahuni wengine
 
Wewe nawe wa hovyo kabisa,hoja Gani hizi Sasa.
1😀ereva na Kondakta wa Basi ameitwa?
2:Mmiliki wa Basi waneitwa?
3:Abiria waliokuwemo kwenye basi Taarifa zao si zipo, kwanini wasiitwe?
Mbowe Kama anateka watu ataumbuka soon
 
Wewe ndiyo hoja Gani hizo Sasa:
1😀ereva wa Basi na Kondakta wake waliitwa?
2:Mmiliki wa Basi aliitwa?
3: Abiria waliokuwemo kwenye basi Taarifa zao si zipo kwanini wasiitwe?
4:Trafiki aliyeketi siti ya mbele na Kuona tukio aliitwa?
5:Waliomilikishwa hayo Mabunduki Makubwa si wanajulikana? Waliitwa?
 
True
 
Uchunguzi huru ni kwa masilahi pia ya washukiwa wote.
 
Kwanini hampendi uchunguzi huru?

Au unadhani polisi haiwajui wasiojulikana?

Au wasiojulikana unadhani hawajulikani?
 
Msimamo wa cdm uko wazi, polisi ni watuhumiwa hivyo hawawezi kujichunguza. Iundwe tume ya kijaji. Polisi hawataki kufanya uchunguzi, bali wanataka kujua kiwango cha ushahidi ili wauharibu.
 
Sio chadema tu raia wote wenye akili timamu hawana Imani na jeshi la police.

Kwa sababu Police ndo watuhumiwa wa No1 wa watekaji na mauji wengine wametajwa Hadi Kwa majina Sasa unaenda kufanya Nini huko kama sio kupoteza muda Bure tu.
 
Mnyika anaitwa kutoa maelezo ya namna gani wakati hakuwepo kwenye tukio?? yan wasiitwe mashahidi waliokuwepo kweny tukio alafu anaitwa mnyika . una akili kweli
 
Yani mnahangaika na Mnyika aliyepewa taarifa na Wana familia. Hakuna kwenda kwa hao wajinga.
 
Mnyika anaitwa kutoa maelezo ya namna gani wakati hakuwepo kwenye tukio?? yan wasiitwe mashahidi waliokuwepo kweny tukio alafu anaitwa mnyika . una akili kweli
Hawa ndio wanaotumiwa na hao wauaji wakiamini watu wote hawana akili kama walivyo wao.
 
Sema katibu mkuu sio mnyika kama mnyika

Lapili ,aliitwa kwanjia ya barua kupitia mawakili wachama ,hakuitwa na polisi kupitia JF hapa ,ungewauliza polisi kwamba amekaidi au la

Sio unakuja tuuu kama mwewe kwenye faranga
 
Ndo maana tunasema chadema iangaliwe kwa jicho la pekee Sana kwenye haya yanayoendelea nchini
Kwa sababu gani, kwamba wao ndio wenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao au kwa vile wanadai baadhi ya wanachama wao wametekwa/potea na wengine kuuawa? Bado sijaona logic ya hoja yako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…