Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

Hamuwezi kutulazimisha tuwaamini wahalifu eti kisa ndio wenye dhamana ya ulinzi. Kwa taarifa yako hatuna ujinga wa hivyo.
Basi endeleeni kulialia ila hamna kitakacho badilika
 
Kabisa
 
Mama Yako angetumia tu P2. Ametuletea zezeta ulimwenguni.
 
Mama yako alipaswa atumie P2.
 
Wewe mbona p2 ilimgomea mama yako huoni ulivyo pomole
Kwa hiyo mama yako alitumia ikamgomea? Basi alikuwa na akili walau kutumia tu maana hapa kuna mtu ambaye ubongo wake upo kwenye puru.
 
Kwa hiyo mama yako alitumia ikamgomea? Basi alikuwa na akili walau kutumia tu maana hapa kuna mtu ambaye ubongo wake upo kwenye puru.
Ndo shida ya kuwa na mapomole Kama wewe, unadakia dakia tu mambo
 
Ndo shida ya kuwa na mapomole Kama wewe, unadakia dakia tu mambo
Ila wewe kuandika uduwanzi unaona una akili? ... Tafuteni kwanza Abiria, driver, Mmiliki wa Bus na waliokuwepo kabla ya Mnyika mbona akili ndogo tu ? Uncouth!
 
Unajuaje anayeongoza uchunguzi Policcm ndiye aliye amuru mauaji ya Kibao
 

Wanampotezea muda tu ,polisisiemu wanajua nani aliyemuua kibao ,CDM wanajua kwamba wanatolewa kwenye focus hivyo hawawezi kucheza ngoma ya sisiemu.

Nchimbi alishaongea Mnyika hawezi kupanga njama za kumuua kibao ,maelezo yalishatolewa jinsi Mnyika alivyopata taarifa ,Merehemu Meddy Kibao ni mteja wa Tahirrif na wanamjua so baada ya kutekwa viongozi wa bus wakawapigia ndugu zake tanga na ndugu wa Tanga wakampigia Mnyika ,hayo yote kuthibitisha haina haya ya kumwita mnyika ni kutuma email tu TCRA na kupata details zote.
 
Asumwe alipouwawa watuhumiwa wote walikamatwa sasa kwa kibao nini kigugumizi
 
Shida ni kwamba chadema wanakwepa kwenda kutoa ushirikiano Polisi. It means chadema ni wahusika kwann wakatae kutoa ushirikiano kwa mwenzao
 
Asumwe alipouwawa watuhumiwa wote walikamatwa sasa kwa kibao nini kigugumizi
Uchunguzi una Mambo mengi, chadema wamekataa kutoa ushirikiano Polisi, nashauri wakamatwe kwa nguvu nadhani Ni wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…