Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hamuwezi kutulazimisha tuwaamini wahalifu eti kisa ndio wenye dhamana ya ulinzi. Kwa taarifa yako hatuna ujinga wa hivyo.Basi hamieni hukohuko kwa mnaowaamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuwezi kutulazimisha tuwaamini wahalifu eti kisa ndio wenye dhamana ya ulinzi. Kwa taarifa yako hatuna ujinga wa hivyo.Basi hamieni hukohuko kwa mnaowaamini
Basi endeleeni kulialia ila hamna kitakacho badilikaHamuwezi kutulazimisha tuwaamini wahalifu eti kisa ndio wenye dhamana ya ulinzi. Kwa taarifa yako hatuna ujinga wa hivyo.
KabisaYeyote anaedinda kutoa ushirikiano kwasabb yoyote ile katika kupata haki na stahiki za kamanda Ally Mohamed Kibao, ajue anashiriki kikamilifu kudhulumu haki na stahiki za kamanda kibao,
na siku ya mwisho mbele za Mungu ataulizwa..
R.I.P kamanda, kuna watu wa chama chako wanaleta mzahaa wanaona haki zako si umuhimu tena, bali mambo yao mengine, pumzika salama kamanda 🐒
Mama Yako angetumia tu P2. Ametuletea zezeta ulimwenguni.Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Mama yako alipaswa atumie P2.Yeyote anaedinda kutoa ushirikiano kwasabb yoyote ile katika kupata haki na stahiki za kamanda Ally Mohamed Kibao, ajue anashiriki kikamilifu kudhulumu haki na stahiki za kamanda kibao,
na siku ya mwisho mbele za Mungu ataulizwa..
R.I.P kamanda, kuna watu wa chama chako wanaleta mzahaa wanaona haki zako si umuhimu tena, bali mambo yao mengine, pumzika salama kamanda 🐒
Kwa hiyo mama yako alitumia ikamgomea? Basi alikuwa na akili walau kutumia tu maana hapa kuna mtu ambaye ubongo wake upo kwenye puru.Wewe mbona p2 ilimgomea mama yako huoni ulivyo pomole
Wazazi wako wana hasara.Wewe mbona p2 ilimgomea mama yako huoni ulivyo pomole
Ila wewe kuandika uduwanzi unaona una akili? ... Tafuteni kwanza Abiria, driver, Mmiliki wa Bus na waliokuwepo kabla ya Mnyika mbona akili ndogo tu ? Uncouth!Ndo shida ya kuwa na mapomole Kama wewe, unadakia dakia tu mambo
Unajuaje anayeongoza uchunguzi Policcm ndiye aliye amuru mauaji ya KibaoNi hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Shida ni kwamba chadema wanakwepa kwenda kutoa ushirikiano Polisi. It means chadema ni wahusika kwann wakatae kutoa ushirikiano kwa mwenzaoWanampotezea muda tu ,polisisiemu wanajua nani aliyemuua kibao ,CDM wanajua kwamba wanatolewa kwenye focus hivyo hawawezi kucheza ngoma ya sisiemu.
Nchimbi alishaongea Mnyika hawezi kupanga njama za kumuua kibao ,maelezo yalishatolewa jinsi Mnyika alivyopata taarifa ,Merehemu Meddy Kibao ni mteja wa Tahirrif na wanamjua so baada ya kutekwa viongozi wa bus wakawapigia ndugu zake tanga na ndugu wa Tanga wakampigia Mnyika ,hayo yote kuthibitisha haina haya ya kumwita mnyika ni kutuma email tu TCRA na kupata details zote.