Akili za kijinga hizi, kwenye kuambiwa ukweli wanakuwa mabeberu ila kwenye uombaomba na umatonya weny ni nchi wahisani?Hii ni Tanzania kama wanataka hao mabeberu wanaowatuma ndo wafanye uchunguzi basi waende huko huko kwa mabeberu wakafanyie uchunguzi huko
Tabula rassa.Kwamba Mnyika na wana Chadema ni raia wenye uraia wa Kimataifa kwanza kabla ya Taifa lao la uzawa? Wameukana lini utanzania?
Sio kwamba Tanzania ni nchi huru yenye kujitegemea kwa kila nyanja ikiwemo ya ulinzi na Usalama wa nchi, raia na mali zao?
Kutii sheria za mamlaka yaliyopo katika nchi ambayo wewe ni raia wake ni Hekima.
Na Busara ni kuitikia wito na kukataa neno.
Unless kuna button inatafutwaβ¦.
Mbona chadema watoto na wake zao wapo wanalelewa na mabeberu huko hivi hawaoni aibu Yani kabisa unaacha familia yako ilelewe pamoja na wazee wakizungu huko ulayaAkili za kijinga hizi, kwenye kuambiwa ukweli wanakuwa mabeberu ila kwenye uombaomba na umatonya weny ni nchi wahisani?
Hakika nyie mmebarikiwa kuwa na kiwango kikubwa cha ujinga na unafiki wenye ukosefu wa aibu
pambana tu na mihemko yako kusaidia kudhulumu haki na stahiki za kamanda Ally Kibao, na siku ya mwisho mbele za haki nawe utaulizwa kulikoni hadi unadhihaki wakina mama sawa na aliekuzaa, kujaribu kuzuia haki na stahiki za Ally zisipatikane?πMama yako alipaswa atumie P2.
Shida ni kwamba chadema wanakwepa kwenda kutoa ushirikiano Polisi. It means chadema ni wahusika kwann wakatae kutoa ushirikiano kwa mwenzao
Kama Huna tatizo la kiakili, basi elimu uliyonayo(Kama kweli unayo) haikusaidii chochote.Ndo maana tunasema chadema iangaliwe kwa jicho la pekee Sana kwenye haya yanayoendelea nchini
We kaa zako huko Nanjilinji ukifagia ofisi ya CCM habari za maisha ya ulaya huwezi kuelewa zaidi ya mfundishwavyo huko uvccm. Kweli ccm ina hazina kubwa sana ya mbumbumbuMbona chadema watoto na wake zao wapo wanalelewa na mabeberu huko hivi hawaoni aibu Yani kabisa unaacha familia yako ilelewe pamoja na wazee wakizungu huko ulaya
πππ kuna watu wanafikiri cdm wakipata uongozi wataunda jeshi lao la polisiusiwaamini wanasiasa sana leo ni hivyo kesho mambo yakibadirika utajionea vichekesho!,hilo jeshi wanalolisema kesho wakipata hatamu yakushika uongozi kauli zitabadirika hutakaa uamini!
hilohilo jeshi ndo litakuwa kipenzi chao...
maisha ya siasa huwa yamejaa ndimi mbilimbili,ukiwakubali wanasiasa tembeanao kwa umakini sana utaachwa mataa!.
Kwa akili yako tukio limepangwa kwenye bus tuh...Kwa hiyo, Mnyika alikuwemo kwenye lile basi?
Kwa akili yako tukio limepangwa kwenye bus tuh...Kwa hiyo, Mnyika alikuwemo kwenye lile basi?
Mkuu kuna mda tunakua na uhakika wa jambo fulan kua mtu kafanyaUshirikiano gani? Si nimekwambia wanapotezewa muda tu wasifocus kwenye uchaguzi.....wahalifu gani wafanye tukio kama lile bila kukamatwa? Tena wameenda Kumtesa kwenye nyumba za wasomali na hata ukimsikiliza ulimboka naye alipelekwa kwenye myumba hizo hizo za wasomali na kuteswa....Waliomteka Ulimboka ni TEETH kwahiyo hizo nyumba wanatumia TEETH kutesa watu.
ππππ kuna watu wanafikiri cdm wakipata uongozi wataunda jeshi lao la polisi
Mkuu kuna mda tunakua na uhakika wa jambo fulan kua mtu kafanya
Ila mwisho wa siku kumbe sio ,