Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

Hii ni Tanzania kama wanataka hao mabeberu wanaowatuma ndo wafanye uchunguzi basi waende huko huko kwa mabeberu wakafanyie uchunguzi huko
Akili za kijinga hizi, kwenye kuambiwa ukweli wanakuwa mabeberu ila kwenye uombaomba na umatonya weny ni nchi wahisani?
Hakika nyie mmebarikiwa kuwa na kiwango kikubwa cha ujinga na unafiki wenye ukosefu wa aibu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kwamba Mnyika na wana Chadema ni raia wenye uraia wa Kimataifa kwanza kabla ya Taifa lao la uzawa? Wameukana lini utanzania?

Sio kwamba Tanzania ni nchi huru yenye kujitegemea kwa kila nyanja ikiwemo ya ulinzi na Usalama wa nchi, raia na mali zao?

Kutii sheria za mamlaka yaliyopo katika nchi ambayo wewe ni raia wake ni Hekima.

Na Busara ni kuitikia wito na kukataa neno.

Unless kuna button inatafutwa….
Tabula rassa.
 
Akili za kijinga hizi, kwenye kuambiwa ukweli wanakuwa mabeberu ila kwenye uombaomba na umatonya weny ni nchi wahisani?
Hakika nyie mmebarikiwa kuwa na kiwango kikubwa cha ujinga na unafiki wenye ukosefu wa aibu
Mbona chadema watoto na wake zao wapo wanalelewa na mabeberu huko hivi hawaoni aibu Yani kabisa unaacha familia yako ilelewe pamoja na wazee wakizungu huko ulaya
 
Mama yako alipaswa atumie P2.
pambana tu na mihemko yako kusaidia kudhulumu haki na stahiki za kamanda Ally Kibao, na siku ya mwisho mbele za haki nawe utaulizwa kulikoni hadi unadhihaki wakina mama sawa na aliekuzaa, kujaribu kuzuia haki na stahiki za Ally zisipatikane?🐒
 
Shida ni kwamba chadema wanakwepa kwenda kutoa ushirikiano Polisi. It means chadema ni wahusika kwann wakatae kutoa ushirikiano kwa mwenzao

Ushirikiano gani? Si nimekwambia wanapotezewa muda tu wasifocus kwenye uchaguzi.....wahalifu gani wafanye tukio kama lile bila kukamatwa? Tena wameenda Kumtesa kwenye nyumba za wasomali na hata ukimsikiliza ulimboka naye alipelekwa kwenye myumba hizo hizo za wasomali na kuteswa....Waliomteka Ulimboka ni TEETH kwahiyo hizo nyumba wanatumia TEETH kutesa watu.
 
Mbona chadema watoto na wake zao wapo wanalelewa na mabeberu huko hivi hawaoni aibu Yani kabisa unaacha familia yako ilelewe pamoja na wazee wakizungu huko ulaya
We kaa zako huko Nanjilinji ukifagia ofisi ya CCM habari za maisha ya ulaya huwezi kuelewa zaidi ya mfundishwavyo huko uvccm. Kweli ccm ina hazina kubwa sana ya mbumbumbu
 
We kaa zako huko Nanjilinji ukifagia ofisi ya CCM habari za maisha ya ulaya huwezi kuelewa zaidi ya mfundishwavyo huko uvccm. Kweli ccm ina hazina kubwa sana ya mbumbumbu
Washaurini warudi Tz, wanatia aibu kula chakula Cha foleni
 
usiwaamini wanasiasa sana leo ni hivyo kesho mambo yakibadirika utajionea vichekesho!,hilo jeshi wanalolisema kesho wakipata hatamu yakushika uongozi kauli zitabadirika hutakaa uamini!
hilohilo jeshi ndo litakuwa kipenzi chao...
maisha ya siasa huwa yamejaa ndimi mbilimbili,ukiwakubali wanasiasa tembeanao kwa umakini sana utaachwa mataa!.
😁😁😁 kuna watu wanafikiri cdm wakipata uongozi wataunda jeshi lao la polisi
 
Ushirikiano gani? Si nimekwambia wanapotezewa muda tu wasifocus kwenye uchaguzi.....wahalifu gani wafanye tukio kama lile bila kukamatwa? Tena wameenda Kumtesa kwenye nyumba za wasomali na hata ukimsikiliza ulimboka naye alipelekwa kwenye myumba hizo hizo za wasomali na kuteswa....Waliomteka Ulimboka ni TEETH kwahiyo hizo nyumba wanatumia TEETH kutesa watu.
Mkuu kuna mda tunakua na uhakika wa jambo fulan kua mtu kafanya
Ila mwisho wa siku kumbe sio ,
 
Kwenye Basi alikuwepo polisi mwenye uniform, wataanzaje na Mnyika ilhali MTU wao alikuwepo kwenye gari?
Hivi mfano benki ikiibiwa na watu wenye bunduki, yule polisi mlinzi wa benki hatoi maelezo?
 
Unaambiwa defender ndio iliwekwa mbele ya Bus ili hilo bus lisimame harafu ndugu yako anashushwa baada ya siku mbili tatu unasikia ndugu yako kauawa na watu wasiojulikana tena baadae hao hao wa defender wanakuita kituoni ili wafanye uchunguzi ukienda huko utakua ni Mjinga wa mwisho.
 
Na leo akifufuka jiwe watanzania watabubujikwa na machozi wanyonge wasio na uwezo maskini wanyonge manake waliambiwa jiwe mbaya wanyonge nani atawafuta machozim
 
Mkuu kuna mda tunakua na uhakika wa jambo fulan kua mtu kafanya
Ila mwisho wa siku kumbe sio ,

Ni kweli ila si kwa lile la KIBAO au la Lissu au La Azory au La Ben saanane au La Sativa Au La SOKA hayo matukio yanonyesha 100% nani amefanya kwa sababu ya kimazingira na kielectronics.
 
Back
Top Bottom