Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Akili za kijinga hizi, kwenye kuambiwa ukweli wanakuwa mabeberu ila kwenye uombaomba na umatonya weny ni nchi wahisani?Hii ni Tanzania kama wanataka hao mabeberu wanaowatuma ndo wafanye uchunguzi basi waende huko huko kwa mabeberu wakafanyie uchunguzi huko
Hakika nyie mmebarikiwa kuwa na kiwango kikubwa cha ujinga na unafiki wenye ukosefu wa aibu