Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga.
Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si kamaliza Mwaka? Amekuja funga juzi tu hapa tena naye anajua alipewa maelezo gani.
Sisi tumeendelea kujipanga na tunashukuru kuwa tumehakikishiwa hii match tunashinda. Tumefuata maelekezo ya kamati ya ufundi. Azam leo anapata tena kichapo toka kwetu.
Saido atakuwa ndani ya nyumba,Tuisila, Mukoko, Yacoub. Hatoki Azam. NASEMA HIVI AZAM LEO APENDE ASIPENDE HATOKI.GAME IMEISHA JANA USIKU SAA SITA. LEO NI KUKAMILISHA MATOKEO TU.
NASISITIZA HAKUNA DRAW HAKUNA KUFUNGWA. LEO AZAM TUNAMCHAPA TUNARUDI KILELENI.
Simba wanatupashia moto kiti pale juu. Wenye nacho tunarudi kwa ubishi na hasira. Ndo mtakapojua hamjui.