Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

Chiziii ee ndugu yangu we endelea kuokota makopo tu mambo mengine yatakufedhehesha.
 
Utopolo nyie hata nafasi ya pili sahauni tunampa azamu point 3 za kiporo ili awe no 2, pira butua butua mnataka mcheze clubu bingwa
 
Bila shaka mpira uliangalia mkuu???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Chizi karogwa tena. Dube hachekagi na machizi.
 
JFkuna watu wehu/ Chizi wa ukweli ukweli mjue kama huyu mleta mada akili zake ni mkurupuko! Ona sasa anavyoteseka kwa kipigoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sisi tumeendelea kujipanga na tunashukuru kuwa tumehakikishiwa hii match tunashinda.
Yaani hapo ndio baada ya kuhakikishiwa kuwa mnashinda, sasa sijui ubao utasomekaje siku mkiambiwa hamshindi!
 
Kuna jamaa alikuwa utopoz wakutupwa anagolilake hapa mtaa ameliandika jina YANGA 2PU SPORTS WAER.
Goli lilikuwa na nyuzi za vyura tu.

Sasaivi naon rangi ya mnyama inaanza kutamalaki golini.

Sasa nimepita hapa nikajifanya namimi utopo mwenzake nikamuuliza vipi mwanangu mbona goliletu rangi haziendani, akasema daah aisee sasaivi bora kuusikiliza moyo tu nisha choka.

Nikatoka huku na cheka kimyakimya.
 
Prince Dubeeeeeeeeeee
Kipa katungukiwa kama mjinga, huyu Dube angekuwa anajua utopo topo wanavyo jisikia asingefunga hiligoli.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…