BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema:
1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby.
2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi waliitumia kujiandaa na mechi ya watani.
3) Wachezaji waliwadharau wapinzani (by Nabi) hivyo kupoteza umakini ktk mchezo.
4) Fitina za Wanaigeria ndiyo zinesababisha Yanga kupoteza.
WACHAMBUZI SASA:
1) Yanga itawatoa kwa Mkapa. Yanga ina bahati na uwanja wa Mkapa (Monastry, Mazembe nk walikufa kwa Mkapa).
2) Mpira wa Afrika umejaa fitina, Yanga walitakiwa kujiandaa kwa fitina za Wanaigeria.
3) Morson Hana msaada hapo Yanga, aondolewe tu, ndiye alieuza ramani kwa wapinzani.
Let's wait.