Leo baada ya mechi na Rivers United haya ndiyo yatakayokuwa maongezi ya Wana Yanga

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema:
1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby.
2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi waliitumia kujiandaa na mechi ya watani.
3) Wachezaji waliwadharau wapinzani (by Nabi) hivyo kupoteza umakini ktk mchezo.
4) Fitina za Wanaigeria ndiyo zinesababisha Yanga kupoteza.

WACHAMBUZI SASA:
1) Yanga itawatoa kwa Mkapa. Yanga ina bahati na uwanja wa Mkapa (Monastry, Mazembe nk walikufa kwa Mkapa).
2) Mpira wa Afrika umejaa fitina, Yanga walitakiwa kujiandaa kwa fitina za Wanaigeria.
3) Morson Hana msaada hapo Yanga, aondolewe tu, ndiye alieuza ramani kwa wapinzani.

Let's wait.
 
Ongezea;
4. Hata Wydad Bingwa Mtetezi alifungwa hapa Nigeria ije kuwa sisi Yanga.
5. Tunawasubir kwa Mkapa tupindue Meza.
6. Mechi ya Simba ilichosha wachezaji.
7. Hatua ya Robo Fainali tuliyofika ni kubwa sana kuanza nayo.
8. Nabbi kakosea kupanga kikosi.
Utopo kazi kwenu
 
Wanakwambia hawachezi tu na Rivers, wamekamiwa na Wanigeria wote. Yanga bwana 🤣😂🤣
 

Unatamani kuufuta uzi wako
 
Mayele mayele, aibu iliyoje
 

Rudi uedit uzi...
 
Vip tuendelee kujadili hii thread yako au ifutwe tu.
 

Sawa Mkuu Let's wait.
 
Pole sana mfugo wa bwana Rage, sasa nenda kale majani kwanza maana utakuwa na njaa kali sana
 
Ogopa sana;

1. Mungu.

2. Pesa.

3. Technology.

Ona sasa ambavyo unaaibika na umbumbumbu wako [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Aden Rage [emoji116]

"Tatizo Mashabiki wa Simba wengi ni Mbumbumbu"

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Aahaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…