Leo baada ya mechi na Rivers United haya ndiyo yatakayokuwa maongezi ya Wana Yanga

Aibu!
 
Aibu sana!!
 
Bwaa ha ha ha haaaa ...
 
kwahiyo kwa sasa je huo ujinga wako upo?
 
Maongeziyako wewe baada ya yanga kushinda..
1.yanga wamebahatisha tuu
2.kwa mkapa rivers watapindua meza
3.rivers wabovu
4.yanga hawakuwq vinzuri wamekosa magoli mengi
Pimbi weweeweee..
 
Duh Sasa hivi wanasemaje
 
🤣🤣🤣 Sasa hivi wanasemaje?
 
Wachawi wekundu leo hamtalala
 
Siku zote ukiongea jambo huku umebanwa kinyesi matokeo yake huwa kama haya AiBu.
 
Saizi mleta uzi akiangalia uzi wake mkvndu una dunda kama moyo
 
Kwa taarifa TU mechi ambayo yanga walidharau ni Ile derby maana haikuwa inaathiri chochote as ubingwa bado ni WA yanga
Kocha aliruhusu wachezaji wawe lazy ili kuwahadaa Rivers ambao hawakudhani wanacheza na team ngumu maana imepoteza na kukoswa koswa
Nb:mechi ngumu kwetu na muhimu ilikuwa Ile ya kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…