Leo Basila kamponda live Wolper japo hajamtaja jina

Basila kasema kweli. Bongo kuna mfundi cherehani wengi wanajiita designers.
Sawa ila vijembe havimpendezi...yaani hawa wadada wa mjini wana tabu sana sijui kwa nini
 
Kabisaa...yaani nampenda sana basila lakini vijembe anavopiga havimpendezi kabisaa

Kumbe kisa alikataa wolpa asiwe jaji kwa nini sasa!!!! Alimkataa
 
Ukweli mchungu japo unauma,huyo mdangaji hana uwezo hata robo wa basila
Rafiki nakubali na wewe 100% ila Dada Basila nnaemjua Mimi sio wa kugombana na watoto wa bongo muvie wolpa hana status ya basila hata kidogo
 
Basili Mwanukuzi mbona siku hizi kila siku vijembe!
YANI AMEKUWA MSWAHILIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
anaongeaaa!
anajivalidate!
yani aaaargh!
SIJAZOEA KABISA HIZI MAKITU KWA MAMISS WA ENZI YAKE!
Umeona eeehhh!natamani kumshauri lakini naogopa ban
 
hii nguo alishonewa na Jackie?
and NAHS NDO NGUO ALOPENDEZA KULIKO NAZOONA ANAVAA!
Hahaaa....ndo kamjibu wolpa akamuambia ndo nguo nzuri kati ya zote hyo niliyokushonea Mimi mbona na ndo unapendezaa...yaani wanapigana vijembe balaa
 
Hii ishu kaianzisha basila na sio wolper. Ni hv wolper alichaguliwa kuwa jaji kwenye miss mwanza basila akamponda kwamba hafai hana hadhi ya kuwa jaji wa miss yoyote. Ndipo balaa lilipoanza
 
Hii ishu kaianzisha basila na sio wolper. Ni hv wolper alichaguliwa kuwa jaji kwenye miss mwanza basila akamponda kwamba hafai hana hadhi ya kuwa jaji wa miss yoyote. Ndipo balaa lilipoanza
Kumbeee halafu wolpa alikua kimya naona bibie madongo hayaishi
 
Anamchokonoa sana mwenzie, alafu akiulizwa anasema hana bifu na wolper ila tu anamuona hafai, kama sio ugomvi ni nini?
Yaap mmeona hilooo...wolper wala hajawahi kumuanza hata leo alivoweka ile caption IG nlishangaa sana aisehhh!!
 
Basili Mwanukuzi mbona siku hizi kila siku vijembe!
YANI AMEKUWA MSWAHILIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
anaongeaaa!
anajivalidate!
yani aaaargh!
SIJAZOEA KABISA HIZI MAKITU KWA MAMISS WA ENZI YAKE!
Toka dunia hii imeumbwa bila shaka katika mavazi hakuna kipya tunarudia tu
 
Ila kwani Basila alikosea mbona nnaona kawa mkweli. Wolper hana hadhi ya kuwa judge kwenye shindano lolote la maana
Designer wolper jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ALITAKIWA ASET STANDARDS ZAKE AKOMAE NA EVENT YAKE!!

aachane na hiki anafanya!!
Jackie got nothing to lose matter of fact!!
Yeye anahitaji kuonekana was tofauti ili kuipa event yake credibility.
Anapoanza issue za kuchambana na walio kwenye industry hasa walio active in social medias,anafail!!
Jackie ana wazimu wake Ila angewez mtumia ampe ideas za kijanja Miss Tanzania iendane na wakati!!

ASIPOANGALIA ATABAKI KUVALISHA WATU VITENGE BEACH NA MACKENZIE Kama vazi la UBUNIFU!!
 
Rafiki nakubali na wewe 100% ila Dada Basila nnaemjua Mimi sio wa kugombana na watoto wa bongo muvie wolpa hana status ya basila hata kidogo
Kuna wakati ukikaa kimya unawapa wajinga nafasi,huyo mlamba uzi auze tu mbunye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…